Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Watie dau akina nani Emirates??? Kwanza nazani ndio mala yao ya mwisho maana hata mkataba si unaona wame expand 6 month kwa maana hiyo nazani wameogopa kukatisha mwanzo mwa msimu sababu huenda timu isha chapisha Jersey nyingi huenda zikawa za msimu mzima ko italeta hasara★
Hawa Chevrolet watoke tuu hatuna upepo nao.
 
★Ole ni mtu mzima that's why he can't air everything kwenye media inambidi amfichie siri kama mwanae tu ila dogo anamatatizo sizani kama media zinataka kumkwamisha kwenye mafanikio yake dogo anaonekana mpole ila hao wapole moto wao nazani unaufaham keep it on your mind Buddy★
Mwalimu alisema ana injury
 
Kwanini tumeshindwa kumwamini Ole halafu tuamini vyombo vya habari ambavyo mara nyingi huwa vinaandika habari za uongo dhidi ya united ?
 
Hawa Chevrolet watoke tuu hatuna upepo nao.
Unafikiri unaposema wafukuzwe hao Chevrolet ni sponsor yupi yupo tayari kutoa hela nyingi zaidi yao? Hela waliyokuwa wanalipa ni kichekesho maana ilikuwa kubwa mno at £ 55 millions kwa mwaka
 
Hata bayan mkuu,,man u bado sio under dog ,,
Man u ndy timu kubwa na Tajiri namba moja duniani..
Bayern ni kubwa sana kuliko Man Utd labda ukubwa UK naosemea wa Man Utd kwenye Mauzo ya jezi tu

Bayern ana UCL 6 vs Man Utd UCL 3

Juzi Atletico Madrid na ubabe wake kwenye kudefend kafungwa 4 bila sasa sijui Ole Gunnar Sokjaer atakuwa anapigwa ngapi na Hans Flick
 
★Samahani mkuu (washambuliji) sjakupata hapo★
Tulia wewe dawa ipenye kunako, hiyo front3 yenu hata namba mazoezini hawapati pale farmer club psg,
Huyu si alisugulishwa hadi mazoezini na kwenu ni tegemeo
 
Detective J ruralofficer mnachotaka kuanzisha ni ubishi.

PSG ingawa ana majeruhi 7 wa first 11 lakini bado betting companies zikampa man u points 6 psg kagewa 1.

Now kwakua you need to feed your ego ngoja niandike hivi;

Psg walikua favorite kushinda mechi kuliko man u based on recent years performance, kikosi, uwezo wa wachezaji na uwezo wa kocha wao.

Hapo sawa?
Hao watu Wa betting usidhani ni wajinga sana. Saa zingine huwa wanahisi uhalisia Wa matokeo ila wanaamua kuwachuza watu kama nyie ili wapige vyao vya kutosha
 
Unafikiri unaposema wafukuzwe hao Chevrolet ni sponsor yupi yupo tayari kutoa hela nyingi zaidi yao? Hela waliyokuwa wanalipa ni kichekesho maana ilikuwa kubwa mno at £ 55 millions kwa mwaka
Usisahau man u ndio tm yenye sponsors wengi zaidi so haijawahi na haitowahi kukosa sponsors mana wanagombania kukaa kwenye ile jezi.
 
Usisahau man u ndio tm yenye sponsors wengi zaidi so haijawahi na haitowahi kukosa sponsors mana wanagombania kukaa kwenye ile jezi.
Fuatilia mabango ya jezi kifuani pesa zake zikoje na Chevrolet wanalipaje na mabango ya Clubs kubwa zingine

Hata Bayern nae ana sponsors sana mno yawezekana hata anaipita Utd kwenye sponsors (I guess sina cover ya data)
 
Back
Top Bottom