Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Anyway tukubaliane.Sio speculation..najaribu kukuonyesha kuwa kuna muda wachezaji wanavunja sheria ila Club zinawalinda..ila kuna sehemu timu hazivumilii hasahasa national teams
1. Mimi naamini alichokisema Ole
2. Wewe unaamini walichokisema Skysport.

