Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,478
Inahusiana na nini na tulicho discuss hapo juu?Kuna uzi fulani tulikua tunabishana kama Guardiola ni kocha mzuri ama la ule uzi ulimuweka Zidane tatu bora ya makocha duniani.
Na zidane kabeba la liga mwaka jana.
