Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 37,803
- 75,454
Hehehe Ole kashawapa United ligi mara ngapi? Kawafikisha united fainali au nusu ucl mara ngapi?Thomas Tuchel kakutana na Ole mara tatu kashinda mara moja na kafungwa mara mbili pale pale Parc de princes nani ana uwezo kuliko mwenzake ?



