Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tulia wewe dawa ipenye kunako, hiyo front3 yenu hata namba mazoezini hawapati pale farmer club psg,
Huyu si alisugulishwa hadi mazoezini na kwenu ni tegemeoView attachment 1609168
We nae wacha ujinga, mchezaji kuanza inategemea na falsafa za kocha, kuna wachezaji wangapi pale psg walionekana hawafai utd lkn wanapata namba pale psg?
 
Pia factors katika Ukubwa wa timu ni makombe na ubabe uwanjani bwashee ,halafu Uingereza timu zinabebwa na lugha tu sababu lugha ya kiingereza ni lingua franca ya dunia

Sasa timu hata kwa Sevilla haifui dafu hahaahhaah ufananishe na Giant ambae ana makombe mengi zaidi na anaubabe uwanjani hahaahhaah
Nimekupa facts so na ww toa facts tuuone huo ukubwa wa Bayern mbele ya man utd
 
Utd ndiyo team kubwa duniani km ulikuwa hujui
 
Nimekupa facts so na ww toa facts tuuone huo ukubwa wa Bayern mbele ya man utd
Ushahidi ndio kama huo nimekupa kwamba Bayern ana CL 6 Man ana 3

Utachekesha kama unaongelea ukubwa kwa factor za Nje ya dakika 90 sababu mpira ni dakika 90
 
Ole kasema dogo ana injury magazeti yakasema amemisbehave tumwamini nani ?

I choose to believe Ole
Injury aliyosema Ole inaweza kuwa kisingizio tu..Je club ikimsuspend kwa muda huyu dogo,Ole unadhani atatuambia kuwa tumemsuspend kwa muda kwa kumissbehave?
 
Injury aliyosema Ole inaweza kuwa kisingizio tu..Je club ikimsuspend kwa muda huyu dogo,Ole unadhani atatuambia kuwa tumemsuspend kwa muda kwa kumissbehave?
Kwanini uamini magazeti ambayo 90% ya taarifa dhidi ya united huwa ni speculations tu ?
 
Skysport ni chombo cha kuaminika na huwa wanatabia ya kulinda maslahi ya wachezaji wa kiingereza..so ukiona mpaka wamepublish hiyo taarifa ujue kuna ukweli ndani yake.
Unaiamini skysport kuliko Ole ?
 
Mbona Ole anaposema bodi imemtendea haki huwa unabisha?..iweje kwenye swala la Mason umuamini 100pc kuwa ni injury na sio kuadhibiwa?
La bodi liko obvious kwamba haijanunua wachezaji.

Sijawahi kubisha kuhusu Ole kusema wanatendewa haki na bodi.

Huwa natoa maoni tu kuwa Ole hatendewi haki na bodi kwenye usajili.
 
Back
Top Bottom