[emoji2765] Nina wasiwasi na mazoea ya kuwafunga psg, kisha baada ya hapo tunazorota.
[emoji2765] Msimu wa 2018/19, baada ya kumnyuka psg na kumuondoa kwenye mashindano ya UCL, game iliyofuata ilikuwa na arsenane EPL.
[emoji2765] Tena kabla ya psg mashabiki tuliomba miujiza ya MUNGU itendeke, na kweli tukawatoa psg.
[emoji2765] Game na asrenane, mashabiki wa Man Utd tukajisemea, eti MUNGU apumzike, asrenane ni mteja wetu.
[emoji2765] Kilichofuata nadhani wote tunajua, tulikula mkong'oto wa goli 2 kavu, na baada ya hapo tulipotea mazima hadi msimu unaisha, timu ilikuwa tia maji tia maji.
[emoji2765] Game ya chelsea naiona kama ni game ambayo itatufanya tu gain confidence zaidi, maana EPL tumeanza vibaya kiukweli.
[emoji2765] Vinginevyo chelsea anaweza akazinduka kwa kuanzia game yetu, maana mara ya mwisho alituotea goli la 3, magoli 2 yalikuwa ya kizembe.
[emoji2765] Na prefer game na chelsea iwe hivi:-
[emoji736] Dean henderson
[emoji736] Brandon williams
[emoji736] Axel tuanzebe
[emoji736] Eric betrand bailly
[emoji736] Aaron wan bissaka
[emoji736] Scott mc tominay
[emoji736] Fred
[emoji736] Alex telles
[emoji736] Marcus rashford
[emoji736] Bruno fernandez
[emoji736] Edison Cavan
[emoji2765] Substitution iwe hivi:-
[emoji736] Juan Mata
[emoji736] Victor lindelof
[emoji736] Paul pogba
[emoji736] Donny van de beek
[emoji736] Daniel james
[emoji736] Nemanja matic
[emoji736] Mason greenwood