Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho leo kakipata cha mtema kumi...3-3 baada ya kuwa mbele kwa goli tatu

Nadhani msimu huu tutapata matokeo ya kushangaza kote ulaya..

Sijui ni ratiba iliyovurugwa na corona,mashabiki kutokuwepo uwanjani au giants wamebaki majina tu?..IDK kwa kweli,ila kuna namna klabu zimeathirika

walianza kwa moto had nikajua mambo safi nikasepa kilichotokea ndio hicho daaaa ila kad nyekundu ilituharibia kwa hawa jamaa
 
Hivi 4-4-2 diamond inakuwaje?
beki wanne na washambuliaji wawili kama kawaida kwenye 4-4-2 nyengine kinachobadilika ni midfield tu, diamond inaua winga na kuwa na midfield 4, mmoja mkabaji, mwengine mshambuliaji na midfield wa kulia na kushoto, tulicheza kidogo na lvg huu mfumo.pia mabeki wa pembeni wanakuwa wanapanda na kushuka kama mawinga.

hii picha inaonesha 4-4-2 ya kawaida na diamond
4-4-2-_soccer_systems.png
 
unamuamini ED atamuuza pogba na kuleta winga wa kulia?
Problem Pogba ni expensive but now mkataba umebaki miaka 2 na posibility ya kwenda Barca au Madrid ni ndogo

I think kuna posibility Pogba hataongeza mkataba na akaondoka free kurudi Juventus au PSG
 
beki wanne na washambuliaji wawili kama kawaida kwenye 4-4-2 nyengine kinachobadilika ni midfield tu, diamond inaua winga na kuwa na midfield 4, mmoja mkabaji, mwengine mshambuliaji na midfield wa kulia na kushoto, tulicheza kidogo na lvg huu mfumo.pia mabeki wa pembeni wanakuwa wanapanda na kushuka kama mawinga.

hii picha inaonesha 4-4-2 ya kawaida na diamond
4-4-2-_soccer_systems.png
Nimekusoma sana mkuu!
 
Problem Pogba ni expensive but now mkataba umebaki miaka 2 na posibility ya kwenda Barca au Madrid ni ndogo

I think kuna posibility Pogba hataongeza mkataba na akaondoka free kurudi Juventus au PSG
mkuu mimi sipo against kumuuza huyu jamaa na kuleta replacement, ila ED ana 10 ama 20% tu ya kuweza kukamilisha replacement, refer herrera, lukaku na wengineo.
 
msimu ambao tulifungwa 6 na city, tulimfunga 8 arsenal, hivyo wanaokuja wajiandae na sisi tutambaka tu kigogo mmoja muda si mrefu.
Sure,tusikae kinyonge..itakuwa poa hata kumuua Jogoo pale anfield ambako hajafungwa kitambo sana

Nimetuliza akili na kugundua kuwa hii United inatenganishwa na umbali mdogo sana kutoka timu bora hadi timu dhoofu..Ole ana kazi ya kutufanya tusimame upande mmoja kwa asilimia nyingi i.e timu bora..Kazi hiyo anaweza?,IDK,naendelea kumpa muda
 
★Aaron Wan-Bissaka became the 116th different player to score for Manchester United in the Premier League in what was his 38th league appearance for the club.★

#GGMU

manutd |
IMG_20201018_214039_715.jpeg
 
★FRONT CHALLENGE!

You have £6 to pick the BEST front 3, who are you taking?
IMG_20201017_201615_082.jpeg
 
Back
Top Bottom