Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Katika hali ya kawaida alikotutoa ni mbali kwa kikosi kilichokuwa hali mbaya sana.Mkuu PTER hii battle ya kumtetea OGS umejitoa kweli kweli,ONE v ALL.
Last season niliamini Ole asingefika December kwa matokeo mabovu lakini alitoboa.
Kilichonipa matumaini ni namna alivyofanikiwa kuzifunga timu kubwa kubwa karibu zote isipokuwa Liverpool kwa kikosi dhaifu kama kile.
Tactically sioni kama Ole ana mapungufu but ana Laissez faire attitude ambayo imeathiri fighting spirit ya timu.



.”★
★
Vibarua vikiota Nyasi wanamaneno kama wavuvi wa Samaki waki Pemba 