radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Spurs ya Poch ilishasnza kuporomoka. Tukubali, kiufundi Mou ni among world best. Ataweza ku-deliver sababu Spurs hakuna Pressure. United pressire ni kubwa kuanzia Wachezaji hadi kwa mwalimu.
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Mourinho sio kuzidiwa na pressure ya united kapita madrid,chelsea,inter milan na porto labda porto tunaweza kusema ni timu ndogo lakin hizo timu zote zina pressure tatizo la hii timu bodi ipo kibiashara wachezaj wote alikkuwa akiwataka kama chaguo la kwanza hakupata ndipo mgogoro ukaanza.
Alisema kumaliza nafasi ya pili na hii timu yaani timu yetu ni mafanikio makubwa sana ktk ngazi yake ya ukocha wengi tuliona utani leo wakina smalling na jones hawapo ambao walikuwa mabek wa mourinho.
Nakubali pochetino alianza kuporomoka hasa kimbinu rejea post yangu nimeandika hivi
"Pochetina alijitahidi kuandaa timu"" jikite hapo hakuna mahali nimesema mourinho hana mbinu
Nikamalizia mourinho anaweza kupata kitu kama son na kane wakiwa fiti.


