Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ili ucheze 8 na 10 inamaana ni 4-4-2 isiyo Diamond, hakuna winga hata mmoja labda james kidogo anaeweza kucheza mfumo huo utd, na ni mfumo wa kizamani ni kama hautumiki tena.
hivi arsenal walikuwa wanacheza mfumo gani nyakati zile za utawala wa henry na dennis bergkamp pale mbele
 
IMG_0080.jpg
 
unaelewa kwamba pogba akicheza juu anaempisha ni Fernandez? siku ole akimchezesha pogba juu na fernandez akatolewa pale si ndio mtazidi kumsimanga mzee wa watu?
Ili kusiwe na mkanganyiko huu Pogba auzwe hela nzuri halafu watumie hyo hela kuwekeza kwa mchezaji kama haaland na winga Wa kulia Mana viungo Wa kufanya kazi ya pogba tayari tunao tena wawili
 
huyu daniel james hawezi kuwa fullback kama ilivyo kwa davies wa bayern munich?
Kwanza ole namchukulia ni kocha mwenye uwezo Mdogo na asiye na maono. Kuna mtu humu alisema kuliko kumtoa diogo dalot kwa kuwa hatuna winga Wa kulia na Dogo alionyesha angalau kuwa na uwezo Wa kupiga krosi basi angemjaribu huko saba kama aliona fullback haimfai. Binafsi nakubaliana na hili wazo na ninaamini inge click!
 
Pochetino aliandaa timu alijitahidi mourinho anaweza kuambulia kitu msimu huu kama son na kane wakiwa wazima
Spurs ya Poch ilishasnza kuporomoka. Tukubali, kiufundi Mou ni among world best. Ataweza ku-deliver sababu Spurs hakuna Pressure. United pressire ni kubwa kuanzia Wachezaji hadi kwa mwalimu.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom