Tuone na jumanne.Kushinda raha sana,yaani una amka uko positive sana
Saivi hawana utani...mara paaap wanacheza Uefa yyt mwakaniVila wahatari........
Kaangalie Diego Simeone anavyocheza na timu kubwaHivi 4-4-2 diamond inakuwaje?
Hasa Chelseamsimu ambao tulifungwa 6 na city, tulimfunga 8 arsenal, hivyo wanaokuja wajiandae na sisi tutambaka tu kigogo mmoja muda si mrefu.
Mara nyingi midfielders wengi wanakuwa na defensive attributes.Nimekusoma sana mkuu!
Chelsea ni timu ndogo sana, sio kigogo
Ni sawa kabisa nakuunga mkono hadi na mguu man u ni timu kubwa kuliko Arse8 ..😎😎Man united ni timu kubwa kuliko Arsenal, ina mlengo makubwa kuliko Arsenal na lazima iwe na Squad kubwa kuliko Arsenal.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Tena sio kutufunga 6! Hata points 3 walikua hawapati siku ile.Uwezo wa kutufunga sita bila Red Card ile haukuwepo
★Official: Edinson Cavani’s quarantine period in England ends today.★
#GGMU
manutd | View attachment 1604388
Alafu we utakua mchawi sio bure.Tuone na jumanne.
Vilamba mguu wa Mourinho hao mkuu..waliumia sana kocha wao kufurushwa United,So wanataka na Ole afeli bigtime ili wafurahiAlafu we utakua mchawi sio bure.
Shabiki gani anaeombea timu yake ifungwe ili tu kocha abadiliswe?
Kwani United ni Rennes ?jamani PSG sio newcastle si vibaya tukikumbushana
