Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★ANSWER

DEAN HENDERSON

@manutd
IMG_20201011_220017_794.jpeg
 
Ngoja mwakani release clause iwe activated timu zenye hela wamnunue.

Poor United!
Sio kosa la utd Wala kosa la ole ama Ed mkuu !!! Utd walimuhitaji Sana huyu dogo pamoja na ahadi lukuki za mkataba mnono lakini timu ya maagent wake wakiongozwa na baba Yake waliichagua Dortmund !

Kwa Nini ?
Kwa miaka ya hivi karibuni Dortmund imekua moja Kati ya timu ambazo zinawapa vijana nafasi kuonyesha vipaji vyao na kuwainua , pia uhakika wa namba ulikuwa 100,,,
Utd walihisi wangecheza kamari kumleta , pia Dortmund yupo tu kwa muda mfupi , soon Giants wataanza kumnyemelea ! Ishu ya Bellingham inafanana na hii ya Erling!
 
Kuna habari niliwahi soma kuwa United ilikuwa juu yao kukamilisha dili ila kuna vipengele hawakukubaliana navyo kwenye mkataba wake ndiyo maana akaenda Dortmund ila ishu ya Bellingham ipo wazi aliwaamini BVB kuliko United na kiukweli kaenda sehemu salama kwa kipaji chake.
 
Ole kumuweka benchi Pogba hawezi..

Matic+Fred+Fernandes+Scott ndo sababu kuu ya sisi kumaliza nafasi ya tatu msimu uliopita

Hii kiungo cha Matic+Pogba+Fernandes hamna kitu kabisa..wanafanya pia mabeki wawe exposed sana

Bila Ole kusort out hili jambo,hiki kiungo ndo kitamfukuzisha kazi mapema zaidi hasa tutakapokutana na big teams

"""Huyu Pogba huwa natamani auzwe tu,usupastaa uchwara mwingi wakati ni too inconsistent""""
hahahaha. afadhali watu mnanza kuona kuwa Pogba hamna kitu.
 
★Unapingana na ukweli hiyo picha mala ya kwanza nilionaga alikuwepo anahojiwa Ole Sky Sports akawa anaonyeshwa picha anaulizwa huyu nani anataja lakini hapa alichemsha mpaka wakamtajia yeye alisema Brown
Hapana mkuu co kweli, huyo atakuwa ni kasper schemeichel huoni nywele hzo km baba yake, pia dean Henderson ni mdogo sana hyo jezi ni ya enzi za Peter, so hawez kuwa Dean.
 
Back
Top Bottom