fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 3,210
- 9,206
Tangu enzi za mourinho paulo scholes alisema kwamba tatizo la man utd kwanza ni paul pogba halafu jose mourinho watu hawakumwelea.★kwa wale wa King'amuzi cha AZAM Chaneli namba 121 ESPN Wanazungumzia swala la Pogba baada ya kupost kuwa ndoto ya kwenda Real Madrid bado anayo wachambuzi wanasema;-
1:asijionyeshe yeye ni staa wa kimataifa kupitia mitando huo ustaa auonyeshe Pitch.
2:Afikirie kwa undani anapotaka kuomba kuongezewa mshahara afikiri na anachokifanya Uwanjana je kinalingana (kinakizi) na pesa anohitaji.
3:Kama yeye kweli anajiita mchezaji bora basi airudishe Manchester United katika level za kipindi cha Sir Alex na ndipo ahame.★
#GGMU
@espn
manutd
Kwa uelewa wangu mimi ni kwamba pogba hachezi kwa kiwango cha juu lakini kutokana na usupastaa/thamani yake,wanaona aibu kumweka bench.
Kipindi akiwa majeruhi ambapo kama bruno hajaja, tulikuwa na fred,mctomminay na matic kiungo kilikuwa supa sana. Watu wengi hili hatukuliona maana tunakumbuka ujio wa bruno zaidi.


