Tulia mzee,kuanzia jumamosi tunaanza kusambasa vipondoOle Out
Likocha fala.
Linanikera kumuacha Maguire captain na Pogba DM, sub za daki 85 fala
Ushenzi mtupu,
Kunja nne Out
Ole Nyankundo
Ana maisha magumu sana.
Nilishazungumzia humu Haaland hana ubavu wa kumkatalia Ole, Sababu Ole ndio aliemtoa Jalalani na watu wengi walikuwa Hawam rate ila ni Trust ya ole ilioibua Hiki kipaji.Kuna habari niliwahi soma kuwa United ilikuwa juu yao kukamilisha dili ila kuna vipengele hawakukubaliana navyo kwenye mkataba wake ndiyo maana akaenda Dortmund ila ishu ya Bellingham ipo wazi aliwaamini BVB kuliko United na kiukweli kaenda sehemu salama kwa kipaji chake.
Allegri...poch haendi paleMkuu ndio ole out. . . . , Je mbadala wake nan. . . ?
Huyu dogo ananiuma mno mpaka leo kuliko sancho tuliemganda na tukamkosaNawakumbusha.View attachment 1597772
New generation★The game is filled with managers who are in charge of the clubs they played for★
#Legend
@manutdView attachment 1598783
Kwahiyo hata Mourinho hakuwa na uwezo wa kumtumia ?Members wengi IG wanasema kiwango anachoonyesha Pogba akiwa ufaransa ni ushahidi kwamba pale man u hakuna kocha wa kuweza kuutilise uwezo wake.
Hence narudia tena. Kwa fixture ya man u game wanayoweza kushinda ni Newcastle na ile nyingine jina limenitoka zilizobaki ushindi utategemea juhudi binafsi za wachezaji kuliko kocha.