Jibu gani wakati ni Dean Henderson huyo☆Majibu nitatoa kesho ko tulia Mkuu☆


nataka na wengine wajibu
★
Kasper schmeichel mtoto wa peter schmeichel
Nampa Ole msimu mzima.Mkuu unasema kutopata matokeo as if tumecheza mechi za kutosha tumezingua.
Mnasahau timu toja january mwishoni si wadogo si wakubwa tumewafunga wote timu imetoka chini hadi nafasi ya 3.
Mpe kocha hata miezi miwili kwanza uone kama kweli hao wachezaji wameshuka viwango.
Miaka kibao fergie anaanza vibaya na baadae tunabeba ubingwa,
Pochetino nae hovyo tu.Pochetino ataleta mpira wa Burudani...
Timu itacheza vizuri na kukuza vipaji vya makinda na kuwapa makali wachezaji waliokwisha makali.
Lakini ole ndy sababu ya timu kufanya vibaya..
Wachezaji wameshuka viwango usisahau.Team inacheza mpira usiovutia,
Hakuna mbinu za magoli,
Hana plan b.
Hana sub zenye madhara,
Haieleweki anataka nn?
Kwa kifupi man u ni kubwa kuliko uwezo wake.
Hakika mkuuWachezaji wameshuka viwango usisahau.
Wakati huo mashabiki wa man u,,,, tumejificha wapi?Nampa Ole msimu mzima.
Dean Henderson
Ngoja mwakani release clause iwe activated timu zenye hela wamnunue.Nawakumbusha.View attachment 1597772
Halafu lawama tunamtupia Ole.Ngoja mwakani release clause iwe activated timu zenye hela wamnunue.
Poor United!