Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Man UNITED aliondoka nayo Feg na wengi hamlijui hilo.Yule babu alibeba kombe na Manchester United iliyojiegesha egesha tu.Huwezi kuwa na akina Martial eti ndiyo wakuokoe.

Mchungaji mmoja ulaya alikuwa anafungisha ndoa ya midume miwili huko uingereza akasema sasa nyie mmekuwa wanaume wawili si mmoja tena yaani mmekuwa MAN UNITED haaaahaaaahaaa kwa kweli mnatisha.

Man ni mbwa mkali wa zamani aliyetisha kwelikweli ila na kibao cha mbwa mkali kilitisha pia kwa sasa mbwa keshakufa mwenye mbwa kasahau kutoa kibao cha mbwa mkali waoga wanakimbia hadi sasa kwa bahati nzuri machokolaa wamebaini kuwa mbwa kafa wameingia usiku mnene ni kubomoa tu na kuiba kila kitu.

Hakika rekodi ya Arsenal itakaa sana hadi ije ivunjwe.
Pepo limetii amri bila hata maombi.Poleni sana mimi nilikuja tu kuongeza vichwa vya wakeraji yaani kuja kuwakera.

We are the gunners forever.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1601847685011.jpg
 
Shaw,maguire na bissaka wala rashford hawatazinguliwa sana na vyombo vyao vya habar

Hadi kocha hawezi kupondwa angekuwa ndio jose mourinho kala hizi 6 daa
 
The best 007,

Hujiulizi ni kwa nini chini ya Ed ndani ya miaka 7 tu, tumekuwa na makocha 5? Ni kweli Ole ni kocha mbovu lakini nani amemuaajiri kocha mbovu? Nimesema hapo juu ukifanya observation ndogo tu, Manchester United tumekuwa na football executives wanne tu ndani ya miaka 28 iliyopita toka Premier League ibadilike na sisi ndio tuliofanya vizuri ktk mfumo mpya tumebeba mara 13. Lakini ktk hao football executives wanne kuanzia Martin Edwards (1980-1997), Peter Kenyon (1997-2003), na David Gill (2003-2013) hawa wote wamefanya kazi na kocha mmoja tu kipindi chote hicho na kila mmoja amebeba EPL zaidi ya mbili. Kwa nini Ed Woodward amefanya kazi na makocha 5 na hajashinda kombe la EPL ndani ya zaidi ya miaka 7? Kama factor ya kuwa na timu bora ni pesa basi Ed ndiye aliyepaswa kuwa na timu bora zaidi chini yake maana hata ukifanya inflation adjustment yeye ndiye aliyetumia pesa kuliko chief executives wote waliomtangulia.

Bado tu unaamini tatizo la Manchester United ni kocha? Are serious bro? Okay, tufanye kweli tatizo letu ni kocha. Je ni nani anayewaajiri hawa makocha wabovu? Kumbuka wachezaji ni end products ya talents baada ya ku-assemble best talents from coaching staffs to recruitment teams na mwenye jukumu la kufanya hili ni football executive. Hata aje malaika kuwa kocha wa timu ukiwa na football executive mwenye uwezo mdogo ni sawa na kuigeuza Tanzania iwe sawa na Marekani kiuchumi.
Ukiangalia transfer za man united zinavyofanyika kwa sasa wazi wazi unaona tatizo siyo makocha bali ni Woodward.

Yes katumia hela nyingi kusajili lakini katika signings ambazo siyo mahitaji sahihi ya mwalimu na timu.

Transfer ya msimu wa mwisho wa Mourinho na huu wa pili kwa Solkjaer ni clear sign kuwa timu ina uongozi mbovu.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Msimu huu ligi haitabiriki
Bado akina ArsayNO na Chelshit kupitia hizi nyakati
Bitoz kwa Chelsea no Safari hii tuna Mendy sio Kepa ndio maana unaona Chelsea tunaanza kupata cleensheet Hilo kumbuka alafu kibaya zaidi majeruhi wote wa Chelsea wamerudi include Kinghimself Pulisic na Ziyech
 
The best 007,

Hujiulizi ni kwa nini chini ya Ed ndani ya miaka 7 tu, tumekuwa na makocha 5? Ni kweli Ole ni kocha mbovu lakini nani amemuaajiri kocha mbovu? Nimesema hapo juu ukifanya observation ndogo tu, Manchester United tumekuwa na football executives wanne tu ndani ya miaka 28 iliyopita toka Premier League ibadilike na sisi ndio tuliofanya vizuri ktk mfumo mpya tumebeba mara 13. Lakini ktk hao football executives wanne kuanzia Martin Edwards (1980-1997), Peter Kenyon (1997-2003), na David Gill (2003-2013) hawa wote wamefanya kazi na kocha mmoja tu kipindi chote hicho na kila mmoja amebeba EPL zaidi ya mbili. Kwa nini Ed Woodward amefanya kazi na makocha 5 na hajashinda kombe la EPL ndani ya zaidi ya miaka 7? Kama factor ya kuwa na timu bora ni pesa basi Ed ndiye aliyepaswa kuwa na timu bora zaidi chini yake maana hata ukifanya inflation adjustment yeye ndiye aliyetumia pesa kuliko chief executives wote waliomtangulia.

Bado tu unaamini tatizo la Manchester United ni kocha? Are serious bro? Okay, tufanye kweli tatizo letu ni kocha. Je ni nani anayewaajiri hawa makocha wabovu? Kumbuka wachezaji ni end products ya talents baada ya ku-assemble best talents from coaching staffs to recruitment teams na mwenye jukumu la kufanya hili ni football executive. Hata aje malaika kuwa kocha wa timu ukiwa na football executive mwenye uwezo mdogo ni sawa na kuigeuza Tanzania iwe sawa na Marekani kiuchumi.
Ok sawa naomba unisaidie kitu kidogo tu, nikweli wamekuja makocha 4(co 5) ndani ya kipindi kifupi, tukimtoa Moyes je Mou ni kocha mbovu? Van gaal je? Vp utd hsisajiri wachezaji wazuri? Mbn walikuwa wanafanya vzr huko walipo? Matic mbovu, Mata mbovu, Fernandes mbovu, Pobga mbovu duuhhh kweli kazi.

Unasema Peter Kenyon na David Gill walikaa na kocha mmoja tu je ulitaka wabadili kocha wambadili nani? Yn wamfukuze Ferguson? Mbn comparison yako haipo fair mkuu.

Mm ukitoa imani yng hafifu kwa Ole nafahamu ukweli kwamba utd ilikuwa lazima iyumbe kutokana na aliyeondoka alikuwa mtu mzito sana so kiuhalisia lazima tm iyumbe, yn aondoke mtu aliyekaa miaka 26 klabuni zen tm iendelee kuwa hivyo hivyo mbn isingeleta maana ya uwalimu bora wa Ferguson.

Lazima tuyumbe na itachukua muda mrefu kabla ya tm kukaa sawa.
 
Back
Top Bottom