hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,660
- 27,512
Una timu bovu na kocha wa ovyoKwamba ndio mwisho wa timu si wangekufa hawa
Una timu bovu na kocha wa ovyoKwamba ndio mwisho wa timu si wangekufa hawa
Kwa pamoja yamegongwa goli 13[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1590554
Una timu bovu na kocha wa ovyo
Kaa kimyaa pumbafuuSasa wewe unaumia nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Sosha unamfananisha na Arteta ? Wewe kiazi kweli Arteta ana makombe mawili sosha ana nini zaidi mnapokea vipigo vya aibu nyumbani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Unaleta historia?
Kaa kimyaa pumbafuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Unaleta historia?
Tuishi humu kwanza... View attachment 1590567
Ushapaniki, wewe unachangia mshahara wa Sosha ? Umetukanwa wapiNamkwambia kama una hisira usijibu wa ku kot post zangu angalia unaweza kwenda nao sawa kwenye lugha za hovyo mpira uchezwe ulaya we huku unateseka unatukana na wenzio unavhangia hata mshahara wa arteta wewe?
Hiî ni current[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu sasa si humo humo tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Ushapaniki, wewe unachangia mshahara wa Sosha ? Umetukanwa wapi
Hiî ni current[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niambie ni kitu gani Ed anafanya hii timu inashindwa kucheza japo vizuri kwa uhakika?..Ametoa £135m na defence yetu is still looking shit as ever
100%Kitu ambacho hawajajua wenzangu au mm ndio sijui nilikiona muda mrefu sana bruno fernandez alikuwa akicheza vizur sana na timu ilikuwa sawa kipindi pogba anaumwa lakin aliporudi tu kila kitu kikaanza kuwa hovyo ina maana pogba na bruno kucheza kwa wakat mmoja haiwezekani lazima mmoja akae bench