Pweza Boy
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 1,397
- 3,185
Majeruhi?? Uliwajeruhi wewe?? Tulia ukandwe mziki mneneeeeekwamba hadi wachezaji majeruhi watacheza?
Majeruhi?? Uliwajeruhi wewe?? Tulia ukandwe mziki mneneeeeekwamba hadi wachezaji majeruhi watacheza?
Yaani Rashid aanzie Bench kumpisha Martial asee?Atacheza left ,,cavani no 9 .greenwood 7.. Rashford ataingia sub ..kwa martial au greenwood..
Cross zipi mkuu?Cavani, hapa angalau zile cross hazitakua zinapita bila kutendewa haki
Tukubali kutokukubaliana.Hata ibrahimovic alivyokuja aliletwa kama back up,,.mwisho wa siku martial akarudisha jezi namba 9..
Cavani ni bora kuliko martial... Ukwl mchungu..
Unasema cavani majeruhi huyo martial alikaa bench akiwa majeruhi miezi mingapi nje?
Rashford alikaa bench majeruhi muda gani?
Kuwa majeruhi kwa mchezaji mpira ni kawaida sn..
Na labda nikufahamishe...
Edson cavani alikuwa ndy king of PSG ,kabla ya kuja neyma,,
Baada ya kuja neyma yule kocha wa PSG Tuchele ,,akabadilisha mfumo wa kuchezesha viungo wengi pale ndani,,,na kumweka bench cavani over icard,,,ambaye ni muagentina,,
Walibadilisha kabisa way of playing,, na style yao,,hapo cavani bench likamuhusu,,haikumaanisha kwamba alikuwa majeruhi,,,mkuu Mimi mwaka Jana wote nimeumalizia France,,na nimeangalia leage one yote,,na wachambuzi wa soka la France nimewafatilia kwa makini sana,, wachambuzi wao wanaongea tofauti sn,,kuhusu cavani,,na nimekuwa namwangalia ktk mechi zake nyingi alizocheza ,,,Si mtu wa kumfananisha na watu wa ajabu ajabu..
Ni mchezaji ambaye akicheza hata mashabiki wenyewe wa PSG wanafurahia,,
nakuahidi kitu kimoja,,
Mfano ikatokea cavani akawa ndy mwiba tukawaua PSG..basi kocha wao yupo mashakani....mark my words mkuu..View attachment 1590193
Martial hatufai. Hana msaada uwajani, soft, kiburi na hawezi kukabaAnachukua namba ya Ighalo? Ighalo ana namba tangu lini au unamaanisha benchi, af unasema angekuja Telles ili ashushe majalo amshushie nani majalo ss? Magoli kibao tena ya wazi kina Martial wanakosa mbele pale huoni?
Martial mechi ya pili namuona hana hata on target bado unasubiria pera chini ya muembe?
Wacha mtu mzima aje awafundishe watoto jinsi ya ku score zen asepe km watakuwa wafungaji kweli watakuwa wamepata darasa.
Dunia nzima inafahamu Cavani ni natural striker na alisha prove hilo ss huyo Martial ali prove kwa nani? Wacha Cavani aje wakurungu tuna jambo letu.
Naona kdg kdg Bailly anaanza kum impress Ole.Man Utd XI: Matic, De Gea, Pogba, Maguire, Shaw, Martial, Bruno Fernandes, Bailly, Rashford, Wan-Bissaka, Greenwood
Subs: Mata, Lindelof, Fred, Lingard, Dean Henderson, Van de Beek, McTominay
Tottenham XI: Lloris, Sissoko, Lamela, Son, Aurier, Kane, Hojbjerg, Dier, Sanchez, Ndombele, Reguilon
Subs: Hart, Alderweireld, Lucas, Doherty, Ben Davies, Alli, Winks
Hapa vp mkuu kakufurahisha eti.
lol, woodward kama kawaida yake
Bale yuko wapi?Majeruhi?? Uliwajeruhi wewe?? Tulia ukandwe mziki mneneeeeeView attachment 1590208
Mkuu kwmb mwaka uliumaliza France ukimaanisha kuangalia ligi au ulikuwa kule.Hata ibrahimovic alivyokuja aliletwa kama back up,,.mwisho wa siku martial akarudisha jezi namba 9..
Cavani ni bora kuliko martial... Ukwl mchungu..
Unasema cavani majeruhi huyo martial alikaa bench akiwa majeruhi miezi mingapi nje?
Rashford alikaa bench majeruhi muda gani?
Kuwa majeruhi kwa mchezaji mpira ni kawaida sn..
Na labda nikufahamishe...
Edson cavani alikuwa ndy king of PSG ,kabla ya kuja neyma,,
Baada ya kuja neyma yule kocha wa PSG Tuchele ,,akabadilisha mfumo wa kuchezesha viungo wengi pale ndani,,,na kumweka bench cavani over icard,,,ambaye ni muagentina,,
Walibadilisha kabisa way of playing,, na style yao,,hapo cavani bench likamuhusu,,haikumaanisha kwamba alikuwa majeruhi,,,mkuu Mimi mwaka Jana wote nimeumalizia France,,na nimeangalia leage one yote,,na wachambuzi wa soka la France nimewafatilia kwa makini sana,, wachambuzi wao wanaongea tofauti sn,,kuhusu cavani,,na nimekuwa namwangalia ktk mechi zake nyingi alizocheza ,,,Si mtu wa kumfananisha na watu wa ajabu ajabu..
Ni mchezaji ambaye akicheza hata mashabiki wenyewe wa PSG wanafurahia,,
nakuahidi kitu kimoja,,
Mfano ikatokea cavani akawa ndy mwiba tukawaua PSG..basi kocha wao yupo mashakani....mark my words mkuu..View attachment 1590193
fc porto muda wote walikuwa wanataka 20m, kakataa wee, imefika mwisho wa usajili anatoa kiasi hicho hicho, maguire part 2.Hapa vp mkuu kakufurahisha eti.
Mjinga sana, na trick yake ni attention ili afanye biashara.fc porto muda wote walikuwa wanataka 20m, kakataa wee, imefika mwisho wa usajili anatoa kiasi hicho hicho, maguire part 2.
Naaaaaaaaam...............majirani tumehamia...😀😀😀Majeruhi?? Uliwajeruhi wewe?? Tulia ukandwe mziki mneneeeeeView attachment 1590208
Mjinga sana, na trick yake ni attention ili afanye biashara.
Ila akifika na huyo Telles nadhani Ole hatokuwa na kisingizio mana kikosi kitakuwa kimekamilika.fc porto muda wote walikuwa wanataka 20m, kakataa wee, imefika mwisho wa usajili anatoa kiasi hicho hicho, maguire part 2.
Sancho anakuja amini kwamba, yn Man itashangaza watu sn msimu huu mana itakuwa imefanya sajili 4 za maana kwa mkupuo.Ilikuwa kibiashara zaidi hata sancho inawezekana
Sancho anakuja amini kwamba, yn Man itashangaza watu sn msimu huu mana itakuwa imefanya sajili 4 za maana kwa mkupuo.