buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,110
We want cavani on the pitch as a main striker no 9.. For man u..
Nilikuwa nawauliza wanaomtetea martial ambao juzi hapa walisema hatuna mtu, tumeleta na wanaweka maneno
We want cavani on the pitch as a main striker no 9.. For man u..
We ngj tu yn Ole ataomba kuondoka mwenyewe [emoji3][emoji3][emoji3]Itakuwa vizur uefa
We ngj tu yn Ole ataomba kuondoka mwenyewe [emoji3][emoji3][emoji3]
Binadamu haturidhiki.Nilikuwa nawauliza wanaomtetea martial ambao juzi hapa walisema hatuna mtu, tumeleta na wanaweka maneno
Nadhani hao ni haters wa cavani,..bila shaka wanajuwa fika shughuli yake..Nilikuwa nawauliza wanaomtetea martial ambao juzi hapa walisema hatuna mtu, tumeleta na wanaweka maneno
Washapiga la pili tayari back majanga, wachezaji awana nguvu hii team awa Greazer waiuze tu amna namnaDuuu washachomoaaaa...........😀😀😀😀
Nilikuwa nachek leage one,,na nilikuwepo pale Paris..Mkuu kwmb mwaka uliumaliza France ukimaanisha kuangalia ligi au ulikuwa kule.
Wachezaji kama awana mazoez katika kugombea Mipira wanashindwa kabisaMaguire anakaba kwa kunyoosha kidole.
Amekaa zake juu anaangalia ki-screen chake kama yatima.Timu inazidi didimia, huku Oke akijificha kwenye kivuli cha Woodward