Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Usiwe shabiki mandazi ndugu yangu mpira hauongelewi ivyo
Amenishangaza ila ni kawaida cz kila mja ana macho yake mfano ARV yy anamuona lingard japo kila akisema hvyo mnapotezea lkn yy na lingard tu, kuna mdau mwengine yy na Lukaku tu yn humwambii kitu so kila mtu na chaguo lake but all in all mpira huwa unachezwa hadharani.
 
Kwahiyo wewe unataka kuniambia nini kuhusu Dalot?

Mimi nataka Fullback right atakayeweza kumchallange na kumdisplace AWB ikiwezekana,unadhani Dalot anaweza hilo?

Talk is cheap..eti "shabiki maandazi"
Kwanini asiweze dalot mchezaji mzuri sana akipewa game time sasa kocha hamwamini unazani utaionea wapi potential yake ndo mtabaki kusema mineno ya kishabiki kama ivo
 
Mkuu kiukweli kabisa Dalot humkubali tu lkn dogo ana kipaji na ni mzr kushambulia kuliko Bissaka, anapiga krosi vzr na ni mwepesi, tatizo lake pekee ni kukaba tu ambapo anahitaji mwalimu wa kumkidhi, af mm ningelikuwa kocha Dalot hasingelicheza beki.
 
Ss Niles wa nn, pale utd atacheza wapi mkuu?

Msione tunayumba tatizo ni mbinu za kimpira na makosa madogo madogo ya wachezaji ambayo yakipata mwalimu mzr yanapotea fasta.

Uyo Niles japo mnasifia anacheza mpk kipa lkn pale utd hachezi hata hyo nafasi ya kipa cz kuna makipa wazuri mnoo.
Kwani Magwaya anacheza wapi?
Huu mtimu uměkuwa kama jumba la makumbusho tu,
 
Hata ukiangalia mechi ya utd kiukweli haivutii kabisa japo tuna wachezaji wengi wazuri, ni nafuu Arsenal na wachezaji wake wa kuunga unga lkn wanacheza kitimu kuliko utd yenye Lundo la quality players.

Mm cku hz nimeamua kuangalia games za liver mana wananifurahisha sn wale jamaa, Liverpool na Bayern ni kiboko ya matozi huwa nawaangalia sn.
Sasa kama umeamua kuangalia game za Liverpool na Bayern umejuaje kuwa tunacheza vibaya ??
 
★Me dogo namuelewa sio siri hajawahi nionyesha makosa yakipuuzi anapanda anashuka Dogo Yupo sawa hata wazo lakuuzwa siwezi toa★
Mkuu kiukweli kabisa Dalot humkubali tu lkn dogo ana kipaji na ni mzr kushambulia kuliko Bissaka, anapiga krosi vzr na ni mwepesi, tatizo lake pekee ni kukaba tu ambapo anahitaji mwalimu wa kumkidhi, af mm ningelikuwa kocha Dalot hasingelicheza beki.
 
Hawa ndo mashabiki nisiowapendaga,c uamie liva kama vp....hao liva wenyewe wamepitia kipindi kigum kuliko sisi ila wamekomaa na timu yao na walikua wakiiangalia na kujua weaknes zao...msimu ndo unaanza timu nyingi hazipo fit,daah mnaboaaa
Hata ukiangalia mechi ya utd kiukweli haivutii kabisa japo tuna wachezaji wengi wazuri, ni nafuu Arsenal na wachezaji wake wa kuunga unga lkn wanacheza kitimu kuliko utd yenye Lundo la quality players.

Mm cku hz nimeamua kuangalia games za liver mana wananifurahisha sn wale jamaa, Liverpool na Bayern ni kiboko ya matozi huwa nawaangalia sn.
 
★Wewe nae na Muhasimu wako MARTIAL
Amenishangaza ila ni kawaida cz kila mja ana macho yake mfano ARV yy anamuona lingard japo kila akisema hvyo mnapotezea lkn yy na lingard tu, kuna mdau mwengine yy na Lukaku tu yn humwambii kitu so kila mtu na chaguo lake but all in all mpira huwa unachezwa hadharani.
 
★Tulieni mnyonyolewe na Leo★
Kwani Magwaya anacheza wapi?
Huu mtimu uměkuwa kama jumba la makumbusho tu,
IMG_20200930_100811_073.jpeg
 
Mkuu kiukweli kabisa Dalot humkubali tu lkn dogo ana kipaji na ni mzr kushambulia kuliko Bissaka, anapiga krosi vzr na ni mwepesi, tatizo lake pekee ni kukaba tu ambapo anahitaji mwalimu wa kumkidhi, af mm ningelikuwa kocha Dalot hasingelicheza beki.
OGS angeweza kumconvert Diogo Dalot kuwa right wing tu akaachana na Dili la Sancho ambalo halitakamilika kwa hizi siku zilizobaki
 
Back
Top Bottom