Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
Good Job Marcus
Good Job Marcus
wametuma offer kwa mara ya pili,
beki 3 wa kiwango cha juu tunamuhitaji ila kukosekana kwake si pigo kubwa (tunaweza kuangazia eneo jengine)
kwa Ole kusajili right back mwengine ni sawa na kujitukana mwenyewe, dunia hii ni wanadamu wawili tu ndio wenye jeuri ya kufanya hivyo (mourinho na guardiola)


Pep kauzu ile mbaya,kaingia tena sokoni kutafuta CB kwa £65m na wamedondokea kwa Diaz wa Benfica
kama ataondoka Dalot basi huenda akarudishwa upande wa kuliaAu tunajiandaa kumtoa kwa mkopo Brandon William's tena ?
Basi ngoja tuendelee kuwa wavumilivu hii timu sasa haina mwelekeo wowote.kama ataondoka Dalot basi huenda akarudishwa upande wa kulia
Dogo mbona kama ana stress??
lazima awe na stress, mjomba tammy abraham ameanza kufunga magoliDogo mbona kama ana stress??
Basi sasa itabidi tumtoe kwa mkopo maana ata panicklazima awe na stress, mjomba tammy abraham ameanza kufunga magoli
rashford ni samatta aliyechangamkiwa na bahatiBasi sasa itabidi tumtoe kwa mkopo maana ata panick
Yale ma Arse8 Bado yanalalamika kuwa yameupiga mwingi lakini yameishia kupigwamwenye macho haambiwi tazama
View attachment 1584755
Unaona sasa?Si bado hawajafikia makubaliano ?
Hivi Alex Telles tunamhitaji kweli au ni kwasababu tunahitaji kusajili tu ?
Kama tulitakiwa kusajili fullback awe right back walau kutupa option ya kucheza wide kutokana na Bissaka kushindwa kufanya jukumu hilo.
Au tunajiandaa kumtoa kwa mkopo Brandon William's tena ?
Mapungufu yetu ni attacking upande wa kulia ili tupate threat pande zote mbili za uwanja.
Unaona sasa?
Bissaka si amekuja juzi tu? Leo tunasajili mbadala kisa ameshindwa kufit eneo hilo. Bruno nae akiwa flop? Tutamsajili mbadala? Pogba je?
Hapo kosa la nani mchezaji kuja akiwa mzuri na kuflop baada ya msimu mmoja?