Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Yeah lakini aliingia baada ya kuona tunashambuliwa sana upande wa kulia.Mbona dalot amechezeshwa winger mara nyingi tuu na OLE.
Msimu ule OLE anafika, hadi wadau wakawa wanasema "wenda tumepata RW sas".
Kama kumbukumbu zng ziko sawa mechi ya PSG dalot alicheza pia kama winger.
Sasa kwanini wanahangaika kutafuta winger wa kulia wakati timu ina winger wa kulia tena mwenye attributes zote za winger?
Dalot ana pace, ball control nzuri, shooting, crossing, aggressive na anaweza kufunga pia.