Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

nimeiangalia ratiba yetu ya ligi kuu kwa mechi zijazo, tusipobadilika kiuchezaji tunaweza kupoteza alama nyingi sana.
Ole bado amejificha kwenye hoja ya uchovu (ngoja tuone pengine yupo sahihi)
mkuu mbona toka msimu uliopooita tulikuwa tunacbeza vibaya akajificha kwenye hoja ya rebuild msimu huu kaja na hoja ya uchovu ila mbivu na mbichi zitajulikana labda bahati imbebe ila ile quality ya kocha yenye kuamua baadhi ya game imemshinda game nyingi
 
Ni kweli mkuu so solskjaer hajatimiza ahadi yake ya kutumia na kuibua academy players sindiyo? Maana kwa hawa Greenwood,Mengi,Gomez,Chong,Levitt na garner, Hannibal ndio the best academy players ila ni greenwood tu amepenya sababu hakuna mtu anayederiver pale no 7 pia wengine ndo wameondoka na wengine kwa mkopo....(Hannibal hupo academy huyo ni too early kumpa nafasi)nimemtumia kutaja kipaji chake
Hivi Dylan Levit na James Garner wangebaki wangecheza nafasi ipi kwa midfield iliyopo ?

Tahit Chong alipewa nafasi ila alionyesha kutokomaa ndiyo maana amepelekwa timu ambayo haina pressure.

Mimi naona kuwatoa kwa mkopo hao watoto kafanya la maana sana.

Kamwamini Brandon William's na Greenwood ambao kwenye nafasi zao wanafanya vizuri tu.

Hao wengine ni muda muafaka wakapate game time.
 
Mourinho alichukua Uropa na hawa akina Lingard, Phil Jones, Luke Shaw, Valencia, Ashly Young, lakini club ikaona ni mafanikio madogo sana, hakuna kusajili wachezaji wa kueleweka ila club inataka makombe makubwa, alivyofukuzwa ndio usajili ukaanza.
Babu, kama kungekua kuna uwezekano wa kutoa Like nyingi, basi ninge kupa hata mia.
Mkuu ulichokiongea ndio kweli tupu, sema kuna watu wanaona fahari kubadili makocha kila siku, bila kujua kila kocha anae kuja, maana yake tunaanza upya.

Laiti tunge kuwa na CEO mwenye chembe chembe za soccer tusinge fika hapa.

Tatizo la timu yetu sio kocha wala wachezaji (hao wanatolewa kafara tu)

Ivi kuna mtu anashaka na uwezo wa LVG, ama Morinho?
 
.
FB_IMG_16012875174802590.jpg
 
Cha msingi Man u imeshinda na kuchukua pointi 3. Nilichojifunza hizi mechi mbili ni kwamba pale tunapomiliki sana mpira ndio tunafungwa , na kama opponents wakimiliki mpira sisi tunashinda. Na hivi ndivyo mpira ulivyo ..
Sisi tuzingatie tradtional football yetu pass ndefu goal
 
Mourinho alichukua Uropa na hawa akina Lingard, Phil Jones, Luke Shaw, Valencia, Ashly Young, lakini club ikaona ni mafanikio madogo sana, hakuna kusajili wachezaji wa kueleweka ila club inataka makombe makubwa, alivyofukuzwa ndio usajili ukaanza.
Wewe hujawahi ona mume anamke uchi unabana vizur lkn anataka mapango ya mamalaya
 
PTER muda huu nimetoka kuangalia highlight kati ya juventus na sampdoria.....
nimemuona aron ramsey akiwa amezaliwa upya eneo la midfield (free role)
Kulusevski, rabiot, Weston mckennie.

andrea pirlo
ameanza vizuri
=====
Kila mchezaji na mwalimu wake mkuu.

Aron Ramsey hajawahi kuwa mchezaji mbovu hata Rabiot hajawahi kuwa mchezaji mbovu isipokuwa inategemea na mwalimu anataka kumtumia vipi.

Yote hayo yanawezekana kutokana na UTAYARI wa mchezaji kutekeleza majukumu anayopewa na kocha.

Dunia ya leo inawachezaji wachache sana wenye huo utayari.
 
mkuu mbona toka msimu uliopooita tulikuwa tunacbeza vibaya akajificha kwenye hoja ya rebuild msimu huu kaja na hoja ya uchovu ila mbivu na mbichi zitajulikana labda bahati imbebe ila ile quality ya kocha yenye kuamua baadhi ya game imemshinda game nyingi
Msimu uliopita game zilizotakiwa kuamuliwa kwa mbinu za mwalimu Ole alishinda 80% ya hizo games.

Mapungufu makubwa ya Ole ni Laissez Faire attitude but not his tactical quality.
 
Msimu uliopita game zilizotakiwa kuamuliwa kwa mbinu za mwalimu Ole alishinda 80% ya hizo games.

Mapungufu makubwa ya Ole ni Laissez Faire attitude but not his tactical quality.
Kweli mkuu inawezekana Laissez Faire inatumika kwa ole kuwaambia wachezaji wajichague first eleven had wachague wanachezaje
 
Arteta ni version ya jose mourinho muda wa honey moon kwake bado mech ya mwisho ambayo ameanza kuingia kwenye 18 za wana ni mech ya west ham japo alishinda ile zile mbinu zinaanza kudondoka hata kikosi cha chalsea bado kipo sawa tu sijaona cha kulialia kwamba kuna tofaut na united ya 2018 maana wakongwe wapo kibao kaondoka hazard tu wa maana huwezi kupata penat bila kushambulia ukisema ushindi unaamuliwa na penat unakosea utapateje penat bila kushambulia? Ukitaka united wasipate penat ina maana wasifanyiwe faulo kwenye 18 ili mech iishe 0-0
Fouls zingine ni za kipuuzi tu unaona kabisa Refa kafanya maamuzi ya ajabu. Hii inaonesha huwa mnatafuta zaid magoli kwa Njia ya penati
 
Back
Top Bottom