Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,060
- 43,477
Unless Ed anatafuta VisingizioNaamini hii habari sio kweli.View attachment 1584132
Unless Ed anatafuta VisingizioNaamini hii habari sio kweli.View attachment 1584132
Hili ni tatizo kubwa sana kwa timu inavyobehave ni kama haina kiongozi.Kweli mkuu inawezekana Laissez Faire inatumika kwa ole kuwaambia wachezaji wajichague first eleven had wachague wanachezaje
aiseeeee hata bruno ameshuka sana kiwango tena uzuri mechi za mapema tu tumeshaanza kuona hakuna la maana huko mbeleni tunaweza fanya............sosha hamna kitu muleAnaetakiwa kupanga kikosi ni kocha na sio Ed.
Wachezaji kucheza vibaya ni kocha na sio Ed.
Unamuuza Lukaku ukisema Rashford na Martial wanatosha, baada ya msimu mmoja unataka mchezaji wa kuziba hiyo nafasi.
Wachezaji wengi wameshuka viwango. Sio kosa la Ed wala Glazers.
Hapa kwenye kuchukua EPL back-to-back ndiyo panaponichosha, United hatuna tena nguvu ya kuendeleza uhasimu wetu na Liverpool. Old Trafford kimekuwa kiwanja cha kawaida tu hadi kwa timu kama Crystal Palace.SEMA WAHESHIMIWA TUACHE UTANI,KLOP ANAFANYA KAZI KUBWA SANA
✓Sajili zake ni za kukacover gaps na zinaonyesha uhai wa kufa mtu
✓Timu yake inacheza kwa nidhamu na work rate isiyo ya kawaida..90mins watu wanapress kama hawana akili timamu
•••
Nawaona wakichukua EPL back to back
Habari zilizotufikia hivi punde, andreas pereira amepelekwa kwa mkopo katika club ya lazio nchini italy kwa kipengele cha kununuliwa jumla. Club ya Man Utd wanataka kumuuza jumla kwa dau la £27 millions.
Chris smalling nae analilia dili lake likamilike kuelekea club ya Roma nchini italy, mazungumzo ya dau la kununuliwa yanaendelea.
Safisha inaendelea taratibu kwa umakini.
jana aseno mpaka halftime shot on target sifuri iyo ball possess ndio balaa 70 kwa 30.......waliloa mbayaSEMA WAHESHIMIWA TUACHE UTANI,KLOP ANAFANYA KAZI KUBWA SANA
✓Sajili zake ni za kukacover gaps na zinaonyesha uhai wa kufa mtu
✓Timu yake inacheza kwa nidhamu na work rate isiyo ya kawaida..90mins watu wanapress kama hawana akili timamu
•••
Nawaona wakichukua EPL back to back
Utd inamuitaji kocha mpya kuliko uwanja wa mazoezi.mi najiuliza tu ilemipasi ya sancho kama akija united atakuwa anampigia nani pale
Ukweli mchungu!SEMA WAHESHIMIWA TUACHE UTANI,KLOP ANAFANYA KAZI KUBWA SANA
✓Sajili zake ni za kukacover gaps na zinaonyesha uhai wa kufa mtu
✓Timu yake inacheza kwa nidhamu na work rate isiyo ya kawaida..90mins watu wanapress kama hawana akili timamu
•••
Nawaona wakichukua EPL back to back
Dah.the Real Man Utd
Naona dirisha la usajili limebakiza siku 6 tu na hakuna ingizo jipya lolote kulikoni ?Dah.the Real Man Utd
tumeongezewa mlinzi wa kushoto alex tellesNaona dirisha la usajili limebakiza siku 6 tu na hakuna ingizo jipya lolote kulikoni ?
Au Woodward kaamua kufunika kombe mwanaharamu apite.
Liwalo na liwe kikosi kinatosha ?
Wachezaji wetu hawauziki..hahaha!!,hali sio nzuri
★
Wachezaji wetu hawauziki..hahaha!!,hali sio nzuri
Si bado hawajafikia makubaliano ?tumeongezewa mlinzi wa kushoto alex telles
wametuma offer kwa mara ya pili,Si bado hawajafikia makubaliano ?
beki 3 wa kiwango cha juu tunamuhitaji ila kukosekana kwake si pigo kubwa (tunaweza kuangazia eneo jengine), isitoshe huyu jamaa tuna uwezo wa kumsajili bure miezi mitatu ijayo ndio maana klabu inasita kulipa kiwango kikubwa cha fedhaHivi Alex Telles tunamhitaji kweli au ni kwasababu tunahitaji kusajili tu ?
kwa Ole kusajili right back mwengine ni sawa na kujitukana mwenyewe, dunia hii ni wanadamu wawili tu ndio wenye jeuri ya kufanya hivyo (mourinho na guardiola)Kama tulitakiwa kusajili fullback awe right back walau kutupa option ya kucheza wide kutokana na Bissaka kushindwa kufanya jukumu hilo.