Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mashabiki tunapenda kuona mambo mazuri tu.

Wachezaji wetu hizo wiki tatu za mapumziko na yaliyopita hapo katikati wengi hawako vizuri mentally.

Lakini kutofanya pre season ndiyo inatutesa zaidi.
Timu inacheza kama ndio kwanza wamekutanishwa kwa mara ya kwanza ilhali wako pamoja chini ya OGS tangu 2018. Hakuna pattern ya kueleweka halafu tunajificha kwenye kivuli cha preseason kuwa fupi!
 
Nyie si ni mapenati fc.
Mpira umeisha Refa anawarudisha mkapige penati
1601269303524.jpg
 
Wachezaji wamesajiliwa juzi tu hapa. Tulia hivyo hivyo, kikosi chenu mko tangu msimu uliopita bado nategemea kushinda kwa penati, mnashinda baada ya Refa kupuliza kipenga cha mwisho

Huwezi kupata penat kama hushambulii umewahi kuona penat inatolewa mtu akikwatulia au kushika katikati ya uwanja? kikosi chenu mbona mnacho toka mwaka jana si mlishika nafasi ya nne nyie wachezaj wa conte na sari ambao walichukua epl na europa wapo katoka hazard na willian tu shida ipo wapi? Huyo willian na pedro hawakuwa wakianza mara kwa mara
 
Wewe umezungumzia usajili, kikosi ni kile kile ila umediss usajili ..sasa wewe kikosi chako kiko tangu 2018 huko lakin bado kinasua sua. Arteta kaka juzi tu kawa improved ..kuangalia mtiririko sa ushindi wenu mkubwa unaamuliwa na mapenati..
 
Mkuu mbona arsenal kachukua sinia la ngao ya jamii kwa penat au umesahau? Mmemtoa chelsea kwa penat ndani dakika 90 auba kapiga moja au? huwa huko kwenu hamuoni penat zenu
Mbon@ unalialia?
 
Hivi Man U tunamuitaji kweli Kante?!? Ole Gunnar Solskjaer wants N'Golo Kante to add some extra muscle to his midfield, according to reports lakini za uko duniani.
 
Hivi Man U tunamuitaji kweli Kante?!? Ole Gunnar Solskjaer wants N'Golo Kante to add some extra muscle to his midfield, according to reports lakini za uko duniani.
Kuna website za Vichochoroni wanaandika tu wanavyojiskia,

Fatilia Tweets za Telegraph na waandishi wao, BBC na waandishi wao, Fabrizio romano etc kupata tetesi zenye mashiko.
 
Wewe umezungumzia usajili, kikosi ni kile kile ila umediss usajili ..sasa wewe kikosi chako kiko tangu 2018 huko lakin bado kinasua sua. Arteta kaka juzi tu kawa improved ..kuangalia mtiririko sa ushindi wenu mkubwa unaamuliwa na mapenati..

Arteta ni version ya jose mourinho muda wa honey moon kwake bado mech ya mwisho ambayo ameanza kuingia kwenye 18 za wana ni mech ya west ham japo alishinda ile zile mbinu zinaanza kudondoka hata kikosi cha chalsea bado kipo sawa tu sijaona cha kulialia kwamba kuna tofaut na united ya 2018 maana wakongwe wapo kibao kaondoka hazard tu wa maana huwezi kupata penat bila kushambulia ukisema ushindi unaamuliwa na penat unakosea utapateje penat bila kushambulia? Ukitaka united wasipate penat ina maana wasifanyiwe faulo kwenye 18 ili mech iishe 0-0
 
Mbon@ unalialia?

Siwezi kulialia nimwakwambia ushindi wa sinia la kashata na birika la kahawa mliobeba arsenal wote una penat ndani yake unabisha? Penat za huko hamuongei bila penat mngechukua sinia na birika?
 
Back
Top Bottom