Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Napenda sana jinsi unavyoweka fact hadharaniKama tulivyoongea hapo juu mkuu, tatizo ni fitness level tu.
Chukulia mfano Pogba tumemaliza Msimu, Ameumwa Corona alivyopona Ligi imeanza, Hata mazoezi hana unategemea nini?
Hebu tuangalie kwa Mifano Finalist wa Ulaya Msimu uliopita.
1. UEFA NI Bayern na Psg.
-Psg kafungwa mechi mbili mfululizo, kikawaida kwenye ligi yao ya wakulima ni Nadra PSG kufungwa nini kimempata?
-ninavyoandika Hapa Bayern kashatandikwa 3 mechi inaendelea kwanini?
2. Europa Sevilla na Inter
-Sevilla kapoteza Mechi 2 zilizopita kapigwa mpaka na Bilbao
-inter kacheza mechi 1 tu Serie A ameshinda ila tayari Ameruhusu Goli 3
Semi finalist kuna
-lyon mechi 4 zilizopita kashinda moja tu
-Rb lepzig mechi 4 kashinda 2 tu
-shaktar mechi 3 zilizopita kashinda 1 tu.
Je mkuu ni coincidence hii? TIMU ZOOOTE zilizofika Nusu ama Fainali ya Mashindano ya Europa ama EUFA zinafanya vibaya?
Jibu ni Rahisi tu, Fitness level ni Ndogo, wengine wamepumzika muda mrefu na Kujiandaa, waliofika mbali Uefa wamepumzika muda mfupi na hawajajiandaa.
Wengi wamezoea blah blah tu
