young ricky
Senior Member
- Aug 24, 2018
- 162
- 165
narudia OLE sio kocha wa kuleta kombe hata moja, Endleeni kumuamini
narudia OLE sio kocha wa kuleta kombe hata moja, Endleeni kumuamini
Mkuu huu ndio ukweli ambao unauma watu wanaleta ushabiki kwenye ukweliBaada ya kufanya tathmini ya kina nimegundua kwamba man u tatizo co tm bali ni kocha, mana kiukweli kabisa ukiangalia kikosi chetu kina wachezaji wengi tu classic pengine kuliko tm nyingi pale England ukiacha city na Liverpool but kocha hana mbinu ndomana wachezaji wanashindwa kuelewana.
Kocha ndiyo kila kitu kwenye tm, kazi ya kocha inaanzia mazoezini mpk kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, kocha inatakiwa awe ambae amemudu wachezaji yn mchezaji akae benchi lkn akikubali kwamb nastahili kukaa benchi, kocha anatakiwa awe na hamasa kwa wachezaji kiasi kwamba mchezaji anajihisi yupo sehemu salama.
Lakini kocha wetu hana ushawishi kuanzia mazoezini mpk kwenye mechi, kocha wetu mda wote amekaa juu tu hana uhakika na kazi yake anawaachia wachezaji wapambane.
Ifike kipindi mashabiki tugundue kwmb Ole ameshafeli na ndiyo maana kuna makosa mengi tu ya kiuchezaji yanafanyika uwanjani lkn kocha haoni, km Ole ataendelea kuwa kocha tutegemee maumivu hata akiletwa Messi mwishowe ataonekana ni mchezaji wa Barca Tu na co tm nyngne.
Napinga kwa nguvu zangu zote, mpaka povu lina nitoka.As i've said, Ole has to prove this season.
Mnaweza mjazia World Class Players wote 11 and still akashindwa ku-deliver.
Tusijifiche kwenye mgongo wa rebuilding wakati uwezo wa kocha ni mdogo.
Anaetakiwa kupanga kikosi ni kocha na sio Ed.Napinga kwa nguvu zangu zote, mpaka povu lina nitoka.
Ole, anatolewa sadaka tu.
Tatizo lipo kwa Grazza family & Ed wood.
Ifike hatua tuseme ukweli tu, timu yetu tangu wakabidhiwe hawa Grazza family na upepo wa furaha kwa mashabiki ukapotelea hapo.
Ivi, Ole, ni kocha wangapi tangu aondoke Ferguson?Ubora wa wachezaji unatokana na kocha imara.
Kikosi cha Bayern hakina majina ya kutisha, ila mpira ukipigwa hapo utafurahi na roho yako.
Binafsi naamini tukiwa na kocha anayejua mbinu, hata hao kina Lingard watakichafua.
Sancho na wengine wakija, hakuna la maana watakalochangia kwa timu yenye kocha asiejua kuwatumia.
Tusifananishe rebuilding ya Klopp na ya Ole. Arteta na Lampard wanaonesha mwanga kuliko Ole.
Tuanze na kutafuta kocha kwanza. Wachezaji hawahawa lazima wakamuliwe vya kutosha.
Kwani lukaku na martial nani ana nafuu?Anaetakiwa kupanga kikosi ni kocha na sio Ed.
Wachezaji kucheza vibaya ni kocha na sio Ed.
Unamuuza Lukaku ukisema Rashford na Martial wanatosha, baada ya msimu mmoja unataka mchezaji wa kuziba hiyo nafasi.
Wachezaji wengi wameshuka viwango. Sio kosa la Ed wala Glazers.
Mkuu tuna fanana mitazamo.Je ni first target zake!? Ktk misimu sita hivi walimu wote waliokuja ukiondoa Ole wamelia kilio kimoja kwamba hawakuwahi kutimiziwa demands zao za machaguo ya kwanza. Hata huyu ole nae siku akifurushwa tunaweza kuja sikia nilimtaka fulani, Fulani, na Fulani sikupewa. ED Woodward hakwepi lawama ila na kocha nae uwezo ni Mdogo.
Sipempendi huyo ****!Man tesa boss wenu huyo View attachment 1574962
Nliwahi kusema humu humu kwamba kumuuza lukaku will prove to be a huge mistake mbeleniHao wachezaji ndo walitupa Europa.
Ole akauza Herrera na Lukaku kisa hawafiti kwenye mfumo wake. Huo mfumo mpaka sasa haueleweki na hauonekani.
Leo hii anataka atafutiwe Striker wa kati wakati alimuuza Lukaku.
Ole aondoke kwanza.
Babu, kama kungekua kuna uwezekano wa kutoa Like nyingi, basi ninge kupa hata mia.Louis Van Gaal alisema
"Bayern ina CEO na watendaji ambao ni watu wa mpira, wanajua nini ni nini ila Manchester CEO alikua ni mwekezaji benki unaweza ona kwanini usajili hauchukuliwi serious"
Hapo Van Gaal alikua ni mhanga mwingine. Moyes alimsajili Fellaini ambaye miezi kadhaa mbele alikua anaenda kua free agent na market value ikiwa ni 23M ila bodi (Woodward) ikalipa 27M kumpata Fellaini.
Mourinho akaja na kutaka wachezaji 5. Kati ya hao 5 aliletewa Fred tu, kisha akasema anamtaka Maguire bodi (Woodward) akasema Maguire ni ghali sana kwa pesa iliyotajwa na kiwango chake hivyo waachane naye.
Otea ni beki gani amekuja kua ghali kuliko wote duniani....
So Mourinho akapigwa chini huku analalamika juu ya usajili. Kaja Ole, akauza striker akasema ana Rashford na Martial, hali ikawa mbaya wakafanya usajili kwa kupaniki wakamsajili Ighalo.
Familia ya Ighalo ilifanya sherehe baada ya kujua Ighalo kaenda Man U.
Kisha wakati wa usajili umefika timu inatafuta mabeki, wingers na viungo hakuna sehemu waliyosema wanahitaji striker ila kama kawaida mwisho wa yote lawama zitakuja kwa kocha na atatimuliwa aje mwingine.
System ya Man U ipo designed kufukuza makocha, tatizo la kweli ni kutokua na DOF nafasi ambayo Woodward aliifuta hiyo nafasi na kujikaimisha yeye. Na akasema hawana mpango wa kuajiri DOF.
Hii timu morali ipo chini, hili tatizo tulikumbwa nalo Arsenal chini ya Emery. Watu hawajielewi wanazomewa hawajiamini yaani vururu vururu naona Man U inapita same route na tayari hata mashabiki baadhi wanaamini Ole ana matatizo.
The system.
Waingereza wanafiki sana na hapo umemsahau ScholesNajaribu kufikiria kama OGS asingekuwa mmoja wa kina Neville, Giggs, Ferdinand, Keane na wenzao, sasa hivi angekuwa anashambuliwa sana.
Timu mliyonayo siyo ya kufungwa kwa manyanyaso vile na Crystal Palace, hata kama ni swala la kwamba hamjasajili, timu iliyowafunga imemsajili nani?
Hapo mahali palipo na shida ndipo watu wanaparuka na kuwa shushia lawama wachezaji na Makocha.Kuna watu humu wanasema ni sababu man utd haijasajili ... ni sababu haina wachezaji world class kwenye baadhi ya maeneo ... lakini twende mbele turudi nyuma ... unahitaji kikosi kizima cha world class ndo uweze kupata points kwa Crystal Palace?
Ya kwamba kikosi hiki cha wakina Pogba, Fernandez, VDB na wengineo, ni dhaifu kiasi cha kutokuweza kupata points dhidi ya mid-table teams? Haingii akilini. Ingekuwa ni UEFA sawa.
Kuna shida mahali.
Ni kweli mkuu. Na kocha anaejitambua huwa anakuwa na nguvu za kuamua aonavyo yeye inafaa.Anaetakiwa kupanga kikosi ni kocha na sio Ed.
Wachezaji kucheza vibaya ni kocha na sio Ed.
Unamuuza Lukaku ukisema Rashford na Martial wanatosha, baada ya msimu mmoja unataka mchezaji wa kuziba hiyo nafasi.
Wachezaji wengi wameshuka viwango. Sio kosa la Ed wala Glazers.
Mkuu tushabadili makocha wangapi?Baada ya kufanya tathmini ya kina nimegundua kwamba man u tatizo co tm bali ni kocha, mana kiukweli kabisa ukiangalia kikosi chetu kina wachezaji wengi tu classic pengine kuliko tm nyingi pale England ukiacha city na Liverpool but kocha hana mbinu ndomana wachezaji wanashindwa kuelewana.
Kocha ndiyo kila kitu kwenye tm, kazi ya kocha inaanzia mazoezini mpk kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, kocha inatakiwa awe ambae amemudu wachezaji yn mchezaji akae benchi lkn akikubali kwamb nastahili kukaa benchi, kocha anatakiwa awe na hamasa kwa wachezaji kiasi kwamba mchezaji anajihisi yupo sehemu salama.
Lakini kocha wetu hana ushawishi kuanzia mazoezini mpk kwenye mechi, kocha wetu mda wote amekaa juu tu hana uhakika na kazi yake anawaachia wachezaji wapambane.
Ifike kipindi mashabiki tugundue kwmb Ole ameshafeli na ndiyo maana kuna makosa mengi tu ya kiuchezaji yanafanyika uwanjani lkn kocha haoni, km Ole ataendelea kuwa kocha tutegemee maumivu hata akiletwa Messi mwishowe ataonekana ni mchezaji wa Barca Tu na co tm nyngne.
Nani mwenye mbinu hizo?kila siku nawaambiaga hapa mkuu awanielewi wanamsifia kocha hapa ila narudia OLE hana mbinu za kuifundisha man utd