Manchester United (Red Devils) | Special Thread

sio jambo baya ila mkuu unakumbuka solskjaer alisema nini kuhusu academy players pia kitu pekee ambacho kingempa Ole credit na angalau sisi kusema abaki mi endapo angetumia na madogo kwa kuwachanganya na experienced players....
.huko walikoenda hawaendi ongeza viwango zaidi ya kusaidia timu hizo ndogo refer timu aliyoenda Chong refer Dylam levitt hawatarudi wakiwa bora kwa maana hizo timu hazina wachezaji bora watapata tu playing time na si kuwa well trained tactically
Mkuu kwanza si kila Academy player lazima acheze Man Utd, ni historia ya man Utd kuhakikisha hawa watoto wanapata Timu wakikosa nafasi Man UTd.

Na pia mkopo hukomaza Sana wachezaji na wakipata Nafasi unajua Mbivu na Mbichi, mfano Mzuri ni Huyu dean henderson na Shefield wednesday.

Kuna Academy Players wengi tu wapo Kikosi cha kwanza Karibia Kila Namba, tunaweza Panga 1st eleven ya academy Players tupu, na ikacheza Mechi. Hivyo ambao wapo mbali kwenye picking order inabidi waondoke kwa mkopo, waka prove sehemu nyengine kwamba wana Viwango vya kuchezea United.
 
na ndio tunachokipigia kelele humu kila siku, na ole tayari analijua hilo.
1. aje sancho ili tusiwe predictable, unapokuwa unatengeneza kushoto, kulia, katikati hata timu pinzani inakuwa ngumu kukamia.
2. usajili wa VDB pia unalenga kutoa plan B ikiwa plan A imeshindikana, na tumeanza kuona mfano mechi ya Palace.
Tatizo Ole hana hizo quality za kuwa na hizo option zote.

Kimbinu Ole ni mweupe, anatembelea uwezo wa wachezaji na sio kwamba yupo smart.

Sancho akija ni sawa na alivyokuja Bruno. Baada ya msimu anakuwa average kama Bruno.
 
Ni kweli mkuu so solskjaer hajatimiza ahadi yake ya kutumia na kuibua academy players sindiyo? Maana kwa hawa Greenwood,Mengi,Gomez,Chong,Levitt na garner, Hannibal ndio the best academy players ila ni greenwood tu amepenya sababu hakuna mtu anayederiver pale no 7 pia wengine ndo wameondoka na wengine kwa mkopo....(Hannibal hupo academy huyo ni too early kumpa nafasi)nimemtumia kutaja kipaji chake
 
Mkuu naona tunamawazo sawa Plan B hana kabisa zaidi ya ku ahatisha yani anakuwa predictable sana hata mtu unaweza soma sub atakayopiga... Sub zenyewe siku nyingine tumezidiwa anapiga sub zakika ya 83 au 87
 
na ndio tunachokipigia kelele humu kila siku, na ole tayari analijua hilo.
1. aje sancho ili tusiwe predictable, unapokuwa unatengeneza kushoto, kulia, katikati hata timu pinzani inakuwa ngumu kukamia.
2. usajili wa VDB pia unalenga kutoa plan B ikiwa plan A imeshindikana, na tumeanza kuona mfano mechi ya Palace.
Sancho atakuwa Wa kawaida sana,sioni kama Ole ana sifa za kuwa mwalimu Wa kuifikisha Man U tunapotaka au tunapowaza!
 
Msimu huu.
Sasa Pogba ameshakuwa too average.

Kocha amekosa mbinu za kumtumia. Bruno nae akishakuwa kama Pogba tutahamia kwa VDB. Baada ya hapo?

Ila mpeleke Pogba Liverpool utaona majibu yake.
Kama tulivyoongea hapo juu mkuu, tatizo ni fitness level tu.

Chukulia mfano Pogba tumemaliza Msimu, Ameumwa Corona alivyopona Ligi imeanza, Hata mazoezi hana unategemea nini?

Hebu tuangalie kwa Mifano Finalist wa Ulaya Msimu uliopita.

1. UEFA NI Bayern na Psg.
-Psg kafungwa mechi mbili mfululizo, kikawaida kwenye ligi yao ya wakulima ni Nadra PSG kufungwa nini kimempata?
-ninavyoandika Hapa Bayern kashatandikwa 3 mechi inaendelea kwanini?

2. Europa Sevilla na Inter
-Sevilla kapoteza Mechi 2 zilizopita kapigwa mpaka na Bilbao
-inter kacheza mechi 1 tu Serie A ameshinda ila tayari Ameruhusu Goli 3

Semi finalist kuna
-lyon mechi 4 zilizopita kashinda moja tu
-Rb lepzig mechi 4 kashinda 2 tu
-shaktar mechi 3 zilizopita kashinda 1 tu.

Je mkuu ni coincidence hii? TIMU ZOOOTE zilizofika Nusu ama Fainali ya Mashindano ya Europa ama EUFA zinafanya vibaya?

Jibu ni Rahisi tu, Fitness level ni Ndogo, wengine wamepumzika muda mrefu na Kujiandaa, waliofika mbali Uefa wamepumzika muda mfupi na hawajajiandaa.
 
Ni kweli mkuu so solskjaer hajatimiza ahadi yake ya kutumia na kuibua academy players sindiyo? Maana kwa hawa Greenwood,Mengi,Gomez,Chong,Levitt na garner, Hannibal ndio the best academy players ila ni greenwood tu amepenya sababu hakuna mtu anayederiver pale no 7 pia wengine ndo wameondoka na wengine kwa mkopo....(Hannibal hupo academy huyo ni too early kumpa nafasi)nimemtumia kutaja kipaji chake
Kuwapa Nafasi Academy players sio lazima wampokonye namba 1st team players.

-Dean Henderson akiendelea hivi hivi tunategemea awe Mrithi wa de gea.
-Greenwood tunamjua
-Brandon Williams Amekuwa solid Backup player.

Ole so far ame debut wachezaji 12.
 
Hii VAR ni ya kijinga sana, imemzamisha Morinho mchana kweupe
Sio VAR kuna baadhi ya sheria zimefanyiwa marekebisho ikiwemo ya mchezaji kushika ,msimu huu penati zitakuwa nyingi sana kutokana na hayo mabadiliko so kila mtu itafika zamu yake

Timu nyingi sana zimeshapata penati licha ya kucheza game chache

Sent from my Redmi 8A using JamiiForums mobile app
 
Kama tulivyoongea hapo juu mkuu, tatizo ni fitness level tu.

Chukulia mfano Pogba tumemaliza Msimu, Ameumwa Corona alivyopona Ligi imeanza, Hata mazoezi hana unategemea nini?

Hebu tuangalie kwa Mifano Finalist wa Ulaya Msimu uliopita.

1. UEFA NI Bayern na Psg.
-Psg kafungwa mechi mbili mfululizo, kikawaida kwenye ligi yao ya wakulima ni Nadra PSG kufungwa nini kimempata?
-ninavyoandika Hapa Bayern kashatandikwa 3 mechi inaendelea kwanini?

2. Europa Sevilla na Inter
-Sevilla kapoteza Mechi 2 zilizopita kapigwa mpaka na Bilbao
-inter kacheza mechi 1 tu Serie A ameshinda ila tayari Ameruhusu Goli 3

Semi finalist kuna
-lyon mechi 4 zilizopita kashinda moja tu
-Rb lepzig mechi 4 kashinda 2 tu
-shaktar mechi 3 zilizopita kashinda 1 tu.

Je mkuu ni coincidence hii? TIMU ZOOOTE zilizofika Nusu ama Fainali ya Mashindano ya Europa ama EUFA zinafanya vibaya?

Jibu ni Rahisi tu, Fitness level ni Ndogo, wengine wamepumzika muda mrefu na Kujiandaa, waliofika mbali Uefa wamepumzika muda mfupi na hawajajiandaa.
Ikifika December nitakukumbusha ninachomaanisha.

Tangu msimu uliopita nimeona jinsi wachezaji wanavyocheza.

Wameendeleza the same style of playing.
 
★David de Gea has now failed to save any of his last 19 penalties faced in the Premier League.★

#TRASH

@manutd
IMG_20200927_191541_327.jpeg
 
Cha msingi Man u imeshinda na kuchukua pointi 3. Nilichojifunza hizi mechi mbili ni kwamba pale tunapomiliki sana mpira ndio tunafungwa , na kama opponents wakimiliki mpira sisi tunashinda. Na hivi ndivyo mpira ulivyo ..
 
Haka ka mendy kalisajiliwa kuziba gepu la kante kapo vizur leo kamekaa sehem ya ndid
 
Back
Top Bottom