kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,137
- 15,740
Everton wako vizuri Sana msimu huu !!! Wana kitu flani Cha ziada ! Shina shaka watachallenge top six !!!!!!!
Carlo amekaa muda mfupi ametengeneza chemistry nzuri pia amescout vizuri Sana !!!! Mid ya Allan, gomez na doucure(nadhani cjapatia kuandika) imekaa vizuri ! Mbele pako moto , James , richalson na clevit ,,,,defenders wako njema pia