Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Watu wanapiga kelele..ooh tunahitaji straika..straika kama lukaku kwa mpira ule goli zinatokea wapi,pogba hata chance moja hajacreate..timu haiwezi kupiga hata pass kumi kwenye half ya mpinzani..huu si utani?..Tengeneza kwanza system ya uchezaji

Yaani Ole kama hawezi kuimprove viwango vya hawa tulionao hata kuongeza wengine naona atashindwa kuwatumia tu


Timu inacheza kwa morali kwa kipindi fulani tu then kwisha habari..
Umeona enhe, Ole kiwango kidogo kwa United. Kwanza unawezaje mantain Martial uwanjani for 89 minutes? Mapema Rashid alipaswa kucheza central striking role, Debeek anatokea pembeni, life linaendelea. Hawa Wafaransa wetu ni mzigo. Natamani arudi Valensia.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
 
★Bruno Fernandes' goal against Brighton (99:45) was the latest goal scored in the Premier League since Juan Mata for Chelsea against Norwich in 2011 (100:03)★

#GGMU

manutd |
IMG_20200927_112724_595.jpeg
 
★Gentlemen, start your engines

This title race is just getting started


Me Looking OLe at Back

#GGMU

@manutd
IMG_20200927_113705_447.jpeg
 
★Waiting for Manchester United to do something in the transfer window like...★

#GGMU

@manutd
IMG_20200927_113454_732.jpeg
 
Man u kufanya buildup hamuwez ,mkikutana na wahuni wanaokabia juu mtasumbuka sana

Nimekumbuka Lampard baada ya kuwapiga nusu alisema Amegundua udhaifu wenu, Hivo kovasic akawa nikupiga tackle tu, mipira mnapoteza kirahisi

Kila gem na plan yake alipata bahat ya kushinda sio kile mech united wataungia kama walivyocheza na chelsea
 
Ninyi munaweza kurudisha goli tatu kama Chelsea? Au ndo mpaka mpate penati

Angalia mlivyopigwa na crystal Palace, kwa sababu hamkupata penati ndo maana goli hazikurudi

Kwa zile hela mlizoweka mzee baba mnagombania drooo daaaa maisha yanaenda kasi sana
 
★una akili Zako timamu kwa usajili mlio fanya TIMO,ZIYECH,KAI,THIAGO na bado unakuja kujitapa kwa DRAW kina wewe kapimwe haupo vizuri

Huyo jamaa daa muonee huruma wamesajli nusu ya timu halafu wanafurahia suluhu
 
lvg na Mou wote walikuwa top coach, hakuna guarantee yoyote akiondoka ole na kuja kocha mkubwa kwamba atafaulu. so far ole kwangu yupo kwenye right path na ana support yangu, na nipo positive.

Mkuu kwa wachezaj tulionao wale wanatofaut gan na spurs ya pochetino toka 2016? Huu mwaka wa tatu wa ole hamna hata dalili ya top 4 kwamba tunaweza kuingia timu kama crystal palace ndio za kuchukua point kama unataka kufika juu sasa utachukua point kwa liverpool na manchester city?
 
Dalili mbaya hizo huwezi ku struggle kwa Brighton uje upate matokeo kwa Liverpool

Umeanza kuangalia mpira 2020/2021? Last season united kafungwa na liverool mech moja na arsenal mech moja zote kashinda halafu kapigwa na madogo na droo kibao za madogo nachoweza kukuambia mpira huwa na plan zake usitegemee plan ya brighton akaingia nayo kwa liverpool
 
Umeanza kuangalia mpira 2020/2021? Last season united kafungwa na liverool mech moja na arsenal mech moja zote kashinda halafu kapigwa na madogo na droo kibao za madogo nachoweza kukuambia mpira huwa na plan zake usitegemee plan ya brighton akaingia nayo kwa liverpool
League yenye team 20 giants sio wengi kuliko teams za average uki struggle huku kwenye points nyingi hata ukiwashinda ma giants haikusaidii
 
Mkuu kwa wachezaj tulionao wale wanatofaut gan na spurs ya pochetino toka 2016? Huu mwaka wa tatu wa ole hamna hata dalili ya top 4 kwamba tunaweza kuingia timu kama crystal palace ndio za kuchukua point kama unataka kufika juu sasa utachukua point kwa liverpool na manchester city?
Spurs ya pochetino Imefanya Nini ambacho ole Hajafanya? Tusiwe wasahaulifu jamani mechi 1 au mbili zitusahaulishe mema yote.

Timu yetu ndio kwanza Imekutana, fitness level ni ndogo, ita improve kadri muda unavyozidi kwenda.
 
Lvg alikuwa top coach ila hakupewa right choices, Mo alikuwa top coach ila anafundisha mpira mbovu ni kama zama zake zimeisha hivi, na hata sasa bado anahangaika. Ole ni kikwazo zaidi kwenye ile timu kuliko kina Martial Mana hana uwezo Wa kuboresha na kuongeza kiwango cha mchezaji mzuri. Pia hana uwezo Wa kutumia vema vipaji vya kila mchezaji. Ni average coach kama Jamhuri Kihwelo tu
Nikuulize maswali sasa.
1. Toka Rashford azaliwe amewahi kuwa na kiwango kama cha man utd sasa?
2. Toka Martial azaliwe Amewahi kuwa na kiwango kama Cha sasa?
3.toka Bruno Fernandez azaliwe amewahi kuwa na Kiwango kama cha sasa?
4. Toka Greenwood azaliwe amewahi kuwa na kiwango kama cha sasa?

Unaweza nipa mifano ya wachezaji Ole ambao ameshindwa kuboresha viwango vyao?

Vipi kuhusu transfer zake so far zimefanikiwa kiasi Gani?
 
League yenye team 20 giants sio wengi kuliko teams za average uki struggle huku kwenye points nyingi hata ukiwashinda ma giants haikusaidii

Yes hilo natambua ila ninachoweza kusema toka awali mech ya jana haiwez kukupa picha kamili ya msimu mzima kitu ambacho kinaumiza hii timu ni mbinu za makocha/kocha pogba na bruno kucheza pamoja naona inakuwa ngumu sana bruno alicheza vizur sana pogba alipokuwa majeruhi aliporudi tukaanza kuhangaika ukiangalia mentality za wachezaj wa hii timu wanategemea jukum kubwa kufanywa na pogba kitu ambacho kinakuwa kigumu sana kwa sababu pogba toka atoke majeruh hajawa kwenye form viungo wa timu pinzan wanamkamata sana had anapoteza mipira hovyo palitakiwa kuwa na top players watatu wa nne wenye uwezo binafsi kama liverpool au city sasa united ukikamata pogba kwisha kazi liverpool ukidili na salah mane anakuumiza au firmino the same tu city tukipara front 3 ya maana hata pogba na bruno watakuwa sawa kila uchwao bruno kapiga kazi sana toka aje anachoka nae kwa sasa utatu wetu wa wale madogo unatupa shida sana ukiangalia hata mech tumefungwa na sevilla ilikuwa upande wetu angalia madogo walivyokosa magoli
Kwa hiyo mbele kuna takiwa watu makini na kocha kuangalia mbinu zake upya anapocheza na hizi timu za kati
 
Back
Top Bottom