Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii ndio mara ya kwanza kuona. Mpira umekwisha kisha referee anaamuru mpira urudi uwanjani kwa ajili ya kutoa adhabu ambayo ilipaswa kutolewa kabla ya kupuliza kipyenga kuashiria mpira umeisha.

Brighton wame hit post mara tano. Walicheza vizuri na kwa uwelewano mzuri. Brighton walistahili ushindi lakini bahati haikuwa upande wao. Yote kwa yote hongereni kwa alama 3 japo ni za jasho haswa.
 
Mbona Mufc kupewa penalty ni big ishu Sana , lakn timu nyingine ambazo zipo top 4 zikipewa Ni kawaida ??

Kama juz kati maliva yalipewa mbili lakni Hakuna aliyezungumzia!!
Siku hizi Kuna VAR, penalty Ni za halali sio uamuz wa refa Kama ilivyokuwa
Tatizo mazingira ya penalty, I won't speak anything, if I speak I will in big trouble:
 
Daah,,Ole anaifundisha nini hii timu?..Timu hata ule utayari haina

Wachezaji kazi ni kupoteza mipira na kupiga watu gwara uwanjani

AWB is Gone

Ni muda kidogo tu mpaka pale Pogba atakapoanza vurugu zake
 
Aisee ... huyu ndo yule kweli? Au ni mpya? Hamna chance, tackle wala interception mechi nzima!
20200926_171018.jpg
 
Daah,,Ole anaifundisha nini hii timu?..Timu hata ule utayari haina

Wachezaji kazi ni kupoteza mipira na kupiga watu gwara uwanjani

AWB is Gone

Ni muda kidogo tu mpaka pale Pogba atakapoanza vurugu zake

Hapa hata aje sancho kwa huyu kocha hamna kitu hana mbinu kama hatuna wachezaj basi mech kama hizi tulitakiwa kuzitawala sasa brighton anatushika wakat wachezaj wao kawaida sana yule dogo wa chelsea alieuzwa lamptey thamani yake ni ndogo sana lakin mbinu za mwalimu zinamfanya kuwa bora don van de beek tunampoteza kama pogba
 
Back
Top Bottom