Timu yetu haiwezi kupiga pass 10 za uhakika tunapokuwa nusu ya pili ya uwanja, mchezaji mmoja mmoja wanauwezo ila kucheza kitimu hatunajua bado sijajua kwanini....
Kwa kuangalia uwezo binafsi wa Pogba,Bruno, Matic na VDB tunastahili kucreate nafasi zaidi ya 2p kwa game moja ila nashangaa pogba hajacreate any chance.....
pattern ya mpira tunaocheza haieleweki, ndio maana tunapoteza pasi nyingi tukiwa nusu ya adui yani wachezaji hawajui movement ya wachezaji wenzao mfano rashford anaanza kufanya run ila pogba anapiga pasi sehemu aliyotoka sio ile anayoelekea......sitaongelea number 9 ambayo imeishakufa (ndio lukaku hakuwa mtu sahihi lakini game kama ya leo lazima angefunga tu)
Binafsi huwa ninaimani sana na makocha ambao wamecheza kiungo katika safari yao ya soka angalia pep angalia klopp angalia zidane angalia arteta wanajua kitengeneza pattern nzima ya kucheza......leo nimeona pembetatu mbili tu tena moja imefanywa na beki za kati nyinfine na matic tu.....tunahitaji sana ubora wa kocha kufundisha final passing na muda wake wa kuipiga, muda wa kutoa cross nje nknk....
Kocha wetu uwezo wake bado mdogo sana ni mtu anaejifunza kupitia timu kubwa na ajabu huu ni msimu wa 2 mzima kwake ila anachofundisha hakionekani.....msimu wake wa kwanza ule nusu alisjindwa fuzu uefa sababu ya mistakr zake binafsi watu wakasema apewe muda, msimu uliopita ni bahati tu ya kushinda game na leicester ila kuna game tulitakiwa tushinde akafeli katika game plan bahati ikatutokea tukawa 3, sijazungumzia game ya sevilla ambayo alishindwa kutengeneza mfumo mzuri wa kuwadhibiti.....
pressing tunayofanya sio ya level ya EPL tunafanya pressing ya level ya sunday league.....sijajua kocha anafanya kazi gani akiwa free ila ningemuomba aangalie structure na pattern ya uchezaji wa Klopp na Julian Nagelsman (Rb leipzig) hata kwa kumtazama Hans wa bayern na yule babu Japp Haynkes anaweza kujifunza kitu.....bila kukubali kurudi darasani ataondoka bila kutimiza lengo hata moja....