Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hamna timu hapa ni mimavi mitupu
Screenshot_20200926-162526.jpg
 
Japo tumeshinda. Mwaka huu utakuwa mgumu sana kwetu, unless otherwise mambo yabadilike mapema. Watoe hela tupate wachezaji. Natural Left Back na natural Winger.
 
Tumeshinda lakn , wachezaji Ni wazito Sana !!! Kama hawakuwa pre season vile , hizi game nyepesi ndo tunatakiwa tukusanye points !!!!!

VDB ana kitu Cha ziada, Ole ampe more minutes !!

#GGM
 
Mbona Mufc kupewa penalty ni big ishu Sana , lakn timu nyingine ambazo zipo top 4 zikipewa Ni kawaida ??

Kama juz kati maliva yalipewa mbili lakni Hakuna aliyezungumzia!!
Siku hizi Kuna VAR, penalty Ni za halali sio uamuz wa refa Kama ilivyokuwa
 
Back
Top Bottom