Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ila ni injury prone
Ndiyo shida yake hyo lkn wkt mwngne wachezaji huwa baadhi ya tm zinawakataa tu unakuta kila mara anaumia lkn akihamia kwengine msimu mzima hajaumia hata kucha mfano RVP na ndiyo maana utd wanamtaka kwa mkopo kwnz waone ana upepo na man au yale yale zen wakiona tm imemkubali ndo watoe mpunga, ss barca washstukia hyo
 
😘😘😘😘😘😘
IMG_20200923_181014_588.JPG
 
DEMBELE KUTUA MANCHESTER UNITED

Manchester United wapo katika mazungumzo na miamba ya soka Barcelona juu ya uwezekano wa kufanikisha kumsajili, Ousmane Dembele.

[https://res]

Kwa mujibu wa Daily Record, vigogo hivyo vya soka kutoka Premier League wanamuhitaji Mfaransa huyo kwa mkopo huku Barcelona wanachohitaji wao ni kutaka kumuuza moja kwa moja kwa dau lenye thamani ya euro milioni 100.

Inadaiwa mpaka sasa uongozi wa Old Trafford akiwemo Ed Woodward wameshafanya mazungumzo na upande wa pili wa Barcelona juu ya uwezekano wa kumnasa nyota huyo.

My Take: Huyu naye tutaishia hivyo hivyo tu kuzungumza naye zen tutashindwana kwenye malipo, cz tunamtaka kwa mkopo ila barca wanataka mpunga.
Hakuna kitu hapo....Nyie ni timu ya porojo tu Haiwezekani kila mchezaji mko nae kwenye Opening Taiks, Everytime opening talks and agreeing agent fees but No deal done.
Any news concerning Manchester United is A Mockery
 
Nilikuwa niteme tusi
 
Manyumbu kama manyumbu hakuna kipindi na enjoy kama kipindi kuiona Manchester ikiwa imeoza kama hiii. Mnalalamika kila siku mnamtaka Sancho...lkn hamuoni kama timu yenu ni mbovu kila Idara? . Huyo Sancho akija atacheza peke yake? Mlitupigia sana kelele Pernandez alipoanza kurukaruka na kupiga vipenalti vyake vya ajabu.....sasa hv anacheza kama mlevi wa gongo anaetokea kule Namtumbo. Pogba sijui nae kapiga nyeto za namna gani mana sio kwa uzito huu. Na nasubiri hyo weekend kama haifiki mana hao watto BRIGHTON watakavyowafanya sielewi. Kiufupi MANYUMBU top four mwaka huu mtaisikia tuuu.....huu ndiyo ukweli...hata aje MESSI na Ronaldo hamfui dafu...LITIMU HALIMA MUELEKEO.....kama mna akili fukuzeni KOCHA....hapo ndiyo tatizo lilipo.....UTOPLO YA ULAYA FC...kama mnataka Raha njoeni kwa Majogoo mwendo ni ule ule
IMG_20200919_214758.jpg
 
Rashford,martial ni wingers sio natural strikers..hilo ndy tatizo letu man u,,kugeuza winger kuwapa mikoba ya striker
Sahihi

Rashford ni Winga sio striker sababu hana kipaji kwenye upigaji mashuti

Martial ndio striker anacho kipaji kwenye upigaji wa mashuti
 
Manyumbu kama manyumbu hakuna kipindi na enjoy kama kipindi kuiona Manchester ikiwa imeoza kama hiii. Mnalalamika kila siku mnamtaka Sancho...lkn hamuoni kama timu yenu ni mbovu kila Idara? . Huyo Sancho akija atacheza peke yake? Mlitupigia sana kelele Pernandez alipoanza kurukaruka na kupiga vipenalti vyake vya ajabu.....sasa hv anacheza kama mlevi wa gongo anaetokea kule Namtumbo. Pogba sijui nae kapiga nyeto za namna gani mana sio kwa uzito huu. Na nasubiri hyo weekend kama haifiki mana hao watto BRIGHTON watakavyowafanya sielewi. Kiufupi MANYUMBU top four mwaka huu mtaisikia tuuu.....huu ndiyo ukweli...hata aje MESSI na Ronaldo hamfui dafu...LITIMU HALIMA MUELEKEO.....kama mna akili fukuzeni KOCHA....hapo ndiyo tatizo lilipo.....UTOPLO YA ULAYA FC...kama mnataka Raha njoeni kwa Majogoo mwendo ni ule uleView attachment 1578572
Heheheheheeee kweli nimesoma madongo mengi ila hii kiboko mkuu yn ww una bifu kuliko nyama mkuu
 
DEMBELE KUTUA MANCHESTER UNITED

Manchester United wapo katika mazungumzo na miamba ya soka Barcelona juu ya uwezekano wa kufanikisha kumsajili, Ousmane Dembele.

[https://res]

Kwa mujibu wa Daily Record, vigogo hivyo vya soka kutoka Premier League wanamuhitaji Mfaransa huyo kwa mkopo huku Barcelona wanachohitaji wao ni kutaka kumuuza moja kwa moja kwa dau lenye thamani ya euro milioni 100.

Inadaiwa mpaka sasa uongozi wa Old Trafford akiwemo Ed Woodward wameshafanya mazungumzo na upande wa pili wa Barcelona juu ya uwezekano wa kumnasa nyota huyo.

My Take: Huyu naye tutaishia hivyo hivyo tu kuzungumza naye zen tutashindwana kwenye malipo, cz tunamtaka kwa mkopo ila barca wanataka mpunga.
Mkuu huwezi kuwa serious, hii injury prone tuiongeze si tutakuwa tunarudi kule kule kwa wakina shaw
 
Manyumbu kama manyumbu hakuna kipindi na enjoy kama kipindi kuiona Manchester ikiwa imeoza kama hiii. Mnalalamika kila siku mnamtaka Sancho...lkn hamuoni kama timu yenu ni mbovu kila Idara? . Huyo Sancho akija atacheza peke yake? Mlitupigia sana kelele Pernandez alipoanza kurukaruka na kupiga vipenalti vyake vya ajabu.....sasa hv anacheza kama mlevi wa gongo anaetokea kule Namtumbo. Pogba sijui nae kapiga nyeto za namna gani mana sio kwa uzito huu. Na nasubiri hyo weekend kama haifiki mana hao watto BRIGHTON watakavyowafanya sielewi. Kiufupi MANYUMBU top four mwaka huu mtaisikia tuuu.....huu ndiyo ukweli...hata aje MESSI na Ronaldo hamfui dafu...LITIMU HALIMA MUELEKEO.....kama mna akili fukuzeni KOCHA....hapo ndiyo tatizo lilipo.....UTOPLO YA ULAYA FC...kama mnataka Raha njoeni kwa Majogoo mwendo ni ule uleView attachment 1578572
Mtoa hoja Kwanza marinda unayo ..
 
DEMBELE KUTUA MANCHESTER UNITED

Manchester United wapo katika mazungumzo na miamba ya soka Barcelona juu ya uwezekano wa kufanikisha kumsajili, Ousmane Dembele.

[https://res]

Kwa mujibu wa Daily Record, vigogo hivyo vya soka kutoka Premier League wanamuhitaji Mfaransa huyo kwa mkopo huku Barcelona wanachohitaji wao ni kutaka kumuuza moja kwa moja kwa dau lenye thamani ya euro milioni 100.

Inadaiwa mpaka sasa uongozi wa Old Trafford akiwemo Ed Woodward wameshafanya mazungumzo na upande wa pili wa Barcelona juu ya uwezekano wa kumnasa nyota huyo.

My Take: Huyu naye tutaishia hivyo hivyo tu kuzungumza naye zen tutashindwana kwenye malipo, cz tunamtaka kwa mkopo ila barca wanataka mpunga.
Hiyo euro milioni 100 kwa huyo nesi wa wagonjwa haiwezekani waendelee kukaa naye tu kama mkopo hawataki ,,
Yaani tumepigwa kwa Maguire (low average Grade C) alafu tupigwe huku 100M , labda tu aje kwa mkopo
 
Back
Top Bottom