Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Huyo kina sio wakuzungumzia hata kidogo yani sasa hivi imefikia wakati kila Mechi MAN U tunaona big match mfano WOLVERHAMPTON yani mashabiki tunapata mawaaaazo mpaka unajiuliza hivi tunakutana na Bayern Munich maana sio kwa upuuzi unao chezwa.

VBD leo ndio mechi ya kwanza kumuona akicheza ila sijaona maajabu nilotegemea ila nampa muda★
Kocha hamna mule hata mbinu zake cjaziona wala nn tulicheza hovyo mpk walipoingia kina Bruno kwa uwezo wao binafsi ndo mpira ukabadilika, yeye yupo juu huko kaweka nne anajifanya introvert au co?
 
Hahahahaa hizi comments hapa zinachekesha sana. Ila naunga mkono hoja, kweli Ole nae pia ni tatizo kwa sehemu kubwa kwa timu yetu kupata slow traction kwa sasa. Eric arejee kikosi cha kwanza kwa sasa pamoja na Dean anapaswa kuanza ahead of David.

Sijui kwa nini nafsi yangu ina imani kubwa sana na Mason Greenwood ni bora hata Ole ajaribu kujenga timu kumzunguka yeye, namuona akishika mpira anakuwa na madhara sana kuliko Martial na Rashford ukiwachanganya kwa pamoja. Kawazidi sana mpira ukiwa mguuni kwake kuna probability kubwa sana ya lolote kutokea pia anajua sana kuji-position.
 
Rashford na Martial ni mawinga while Greenwood ni pure no 9 ndio maana hana mambo mengi kama hao kaka zake na more clinical anahitajie aende gym aongeze nguvu kupambana na mabeki

Greenwood anapaswa backup striker na sio kumchezesha kama winga,United walipaswa kumsajili RW

Sent from my Redmi 6A using JamiiForums mobile app
 
Huyu mtoto ni genius tumpe muda, huwa nashangaa wadau humu wakisema hawezi kutokea pembeni no.7 wkt kwa jinc nnavyomuona mm naona kama ana madhara sn akitokea no7, kuhusu VDB kwa jinc nnavyoona Ole pia anaelekea kushindwa kumtumia mwisho nae ataonekana average player km Labille, yn huyu kocha huyu cjui km tutatoboa kwakweli, but all in all naunga mkono hoja kwamba tm imzunguke Mason japo tatizo litakuwa tayari kuna kiongozi halisi anayeitwa Bruno ambaye pia ni kocha uwanjani
 
Wachezaji wa sasa ni wavivu kuliko wakati wa SAF.
 
Lingard anajua mpira. Ila amekosa kocha wa kumtumia.

Angalia Gnabry aliekuwa Arsenal na huyu wa sasa wa Bayern.

Hakuna mchezaji mbaya, ila makocha wengi hawajui.
 
Arsenal kushinda game mbili tu mmekuwa washaurii wakuu wa Man united .!!!!?

Oneni hata aibu basi tunawazidi kila kitu mtatushauri nini nyie ???

Mna FA ngapi mkuu?

Ukishindwa kujibu hilö, kwa heshima na unyenyekevu edit comment yako na ufute maneno 'kila kitu' wala usijihisi aibu na unyonge huo ndio uungwana na ukomavu, na sisi waungawana tutahesabu tu umeteleza kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…