Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

NI MECHI YA KWANZA NA MSIMU NI KAMA UMEISHA..

Unajua muda mwingine tuwe wakweli kabisa.."HII KAZI NI KUBWA KWA OLE"..Ole ana matatizo kibao na kimbinu hajaweza kutufanya tuonekana kama ile United tuliyoizoea ikiwa kwenye ubora wake kipindi cha Fergie..Good thing ni kwamba huu msimu hamna kisingizio,,timu inajipigia vipasi uchwara tu muda wote

°°°Kuna watu wanasema hatuna timu kabisa[Who do you want to add in that squad to beat Palace?,Lewandowski?],hakuna krosi za maana zilizopigwa au nafasi kali zilizotengenezwa na viungo hata ukiwa na world class straika bado atapoteana...Too predictable

Sikatai tunahitaji;

✓RW
✓CB
✓Straika
✓LB Backup

Lakini bado kwa kikosi tulichonacho ilibidi lipigwe mbungi la kueleweka..Arsenal wanacheza pattern zinaonekana kabisa,sisi tumeshindwaje?..Arsenal wana kikosi bora kutushinda?

"""Ole kapoteza nusu fainali tatu kwa msimu mmoja,na kashindwa kabisa ku-manage gemu ndogo tu zenye tension"""This worry me

==============

Tuongee kuhusu hawa wachezaji;

Scott McTominay===Hatakuwa mchezaji bora kwetu ni mchezaji mwenye quality ndogo sana kumiliki dimba la kati,na kama Ole ameanza ujinga wake wa kumuacha Matic nje,basi we are in big trouble..Fred anaweza kucheza vizuri kushinda yeye Bigtime

Lindelof===What a softshit??...Watu wanasema Maguire ni mbovu kushinda Lindelof..serious?..huyu jamaa mlaini na mweupe sana..Hata Smalling hawezi kucheza vile..Tunahitaji CB

Rashford====Sioni ukuaji,nachoona kwake ni mchezaji ambaye kwa kipindi kirefu anakuwa out of form na naamini anakuwa anazidiwa hata na foward ya English Championship huko

Bruno+Pogba===Bado hamna kitu,,Yaani tangu Pogba ameanza kucheza na Bruno tumekuwa utopolo zaidi na haya mambo Ole
ni kama hayashughulikii

/////////

Tumetumia zaidi ya £800m toka Fergie aondoke zake lakini we aren't go no where..

Makocha pia wametuangusha sana,wamepewa wachezaji lakini pia wameshindwa kuwafanya wawe bora..leaving aside mambo ya kuletewa wrong choices
 
255765443073_status_db6e2cf8c0814d178adec1d34ccdaea8.jpg
 
Match fitness ndiyo imetucost nilisema last week sioni United wakifanya mazoezi zaidi ya kusikia habari za hovyohovyo.

Matokeo ya lassez faire attitude ya Mwalimu na timu yake ndiyo haya.

Timu nzima ni kama hawajafanya training yoyote toka wamechomolewa Europa League.
Mbona wamekuwa wakifanya ndugu!
 
NI MECHI YA KWANZA NA MSIMU NI KAMA UMEISHA..

Unajua muda mwingine tuwe wakweli kabisa.."HII KAZI NI KUBWA KWA OLE"..Ole ana matatizo kibao na kimbinu hajaweza kutufanya tuonekana kama ile United tuliyoizoea ikiwa kwenye ubora wake kipindi cha Fergie..Good thing ni kwamba huu msimu hamna kisingizio,,timu inajipigia vipasi uchwara tu muda wote

°°°Kuna watu wanasema hatuna timu kabisa[Who do you want to add in that squad to beat Palace?,Lewandowski?],hakuna krosi za maana zilizopigwa au nafasi kali zilizotengenezwa na viungo hata ukiwa na world class straika bado atapoteana...Too predictable

Sikatai tunahitaji;

✓RW
✓CB
✓Straika
✓LB Backup

Lakini bado kwa kikosi tulichonacho ilibidi lipigwe mbungi la kueleweka..Arsenal wanacheza pattern zinaonekana kabisa,sisi tumeshindwaje?..Arsenal wana kikosi bora kutushinda?

"""Ole kapoteza nusu fainali tatu kwa msimu mmoja,na kashindwa kabisa ku-manage gemu ndogo tu zenye tension"""This worry me

==============

Tuongee kuhusu hawa wachezaji;

Scott McTominay===Hatakuwa mchezaji bora kwetu ni mchezaji mwenye quality ndogo sana kumiliki dimba la kati,na kama Ole ameanza ujinga wake wa kumuacha Matic nje,basi we are in big trouble..Fred anaweza kucheza vizuri kushinda yeye Bigtime

Lindelof===What a softshit??...Watu wanasema Maguire ni mbovu kushinda Lindelof..serious?..huyu jamaa mlaini na mweupe sana..Hata Smalling hawezi kucheza vile..Tunahitaji CB

Rashford====Sioni ukuaji,nachoona kwake ni mchezaji ambaye kwa kipindi kirefu anakuwa out of form na naamini anakuwa anazidiwa hata na foward ya Engish Championship huko

Bruno+Pogba===Bado hamna kitu,,Yaani tangu Pogba ameanza kucheza na Bruno tumekuwa utopolo zaidi na haya mambo Ole
ni kama hayashughulikii

/////////

Tumetumia zaidi ya £800m toka Fergie aondoke zake lakini we aren't go no where..

Makocha pia wametuangusha sana,wamepewa wachezaji lakini pia wameshindwa kuwafanya wawe bora..leaving aside mambo ya kuletewa wrong choices
Ubora wa wachezaji unatokana na kocha imara.

Kikosi cha Bayern hakina majina ya kutisha, ila mpira ukipigwa hapo utafurahi na roho yako.

Binafsi naamini tukiwa na kocha anayejua mbinu, hata hao kina Lingard watakichafua.

Sancho na wengine wakija, hakuna la maana watakalochangia kwa timu yenye kocha asiejua kuwatumia.

Tusifananishe rebuilding ya Klopp na ya Ole. Arteta na Lampard wanaonesha mwanga kuliko Ole.

Tuanze na kutafuta kocha kwanza. Wachezaji hawahawa lazima wakamuliwe vya kutosha.
 
Hizi habari za kumuandama Ed pale Timu inapoboronga ndiyo zinazomfanya OLE awe comfortable hata Timu ikose matokeo.

Yani unajua OLE tokea apewe Timu ameshatumia kiasi gani kwa Wachezaji?
Je ni first target zake!? Ktk misimu sita hivi walimu wote waliokuja ukiondoa Ole wamelia kilio kimoja kwamba hawakuwahi kutimiziwa demands zao za machaguo ya kwanza. Hata huyu ole nae siku akifurushwa tunaweza kuja sikia nilimtaka fulani, Fulani, na Fulani sikupewa. ED Woodward hakwepi lawama ila na kocha nae uwezo ni Mdogo.
 
Hii timu yenu mkitaka ifanye vizuri labda ibadili kikosi kizima..

Maana kila sehemu kuna shida. CF hakuna, beki zote nyuma ni mbovu.
Pale wakubaki ni Bruno tu, wengine wote mavi matupu.

Mkimaliza kusajili timu nzima ndio mumfukuze yule Ole.

Baada ya hapo ndio muanze rasmi harakati za kugombania nafasi ya 6 na Everton.
 
Back
Top Bottom