Nani kasema..kesho tunapindua meza kibabeKesho utachezea kipigo timu hauna
Goli la 3 linafungwa.
Lindelof anakaba.
Maguire yuko mbele anatazamana na Zaha.
Kisha akawa amedhania Zaha ataendelea kudribble.
So akawa kama ameanza kutangulia mbele.
Kisha Zaha akashuti huku Maguire akiwa katika stance ya kutaka kukimbia.
Ila lawam zitakuja kwa? Lindelof.
Kwanini? Kwasababu hana watetezi wanaouhusudu uraia wa Maguire.
Unajua mchezaji akiwa booed sana mwisho anakua hivyo anavyolaumiwa. Rodriguez wa Madrid, Xhaka wa Emery, Coutinho wa Barcelona, Lukaku wa Man U n.k. Lindelof hajawahi kua beki wa hovyo ila hizi booing na kudai Maguire ni bora mno kucheza naye zinamshusha Morali.
Ila kama kawaida mwisho wa yote victim hua ni kocha.
Hii timu haina striker. Na haina mpango wa kusajili transfer ambazo ipo linked nazo ni mabeki, mawinga na viungo tu.
Anyway, kazi ni kwenu.
Ivi babu, Matic kwani mgonjwa?Sisis ni weupe mno bado...VDB ameonesha anafaa...Bila matic ile timu haiwezi kutulia.
.
Bila usajili wa watu wanaoeleweka katika maeneo haya CB...RW...CF tusiwe na matarajio makubwa maana tutaumia tu.
Huonagi makocha wakihojiwa na sky or BT sports muda mchache kabla ya kickoff??..hiyo inakuwa pre au post?...You have to be 100% sure kabla hujamcorrect mtuPost-match
Match fitness ndiyo imetucost nilisema last week sioni United wakifanya mazoezi zaidi ya kusikia habari za hovyohovyo.Beki waliopo ni bora mara mia Smalling sema na Rojo
Katika hio misimu minne alifika fainali za europa, uefa, carabaoKlop alipewa misimu minne kuijenga Liverpool.. tumpe muda ole.. Roma haikujengwa siku moja... Hata fagason enz anachukua team kidogo ashuke daraja ila akapewa muda... Tumwache ole ajenge team... Kwanza hapew wachezaj anao wataka board inabana pesa... Sancho was best player
Hili ndo tatizo linatukumba United.Hahahaa same team, same coach, same problems.. Matatizo yale yale timu inacheza slow hakuna lililobadilika, tutasajiri sana lakini bado Ole pia hatoshi hamna anachofundisha huo ndo ukweli.
Hata timu haieleweki inacheza mpira gani kitu ambacho hakihitaji World class prayers kuona aina ya mpira kocha anaofundisha.
Haya matatizo ya timu ndogo yanaendelea kututesa na hakuna kitu Ole ameimprove kwenye hilo tunapiga vipasi uchwara tu visivyo na maana.