Mbona umewaza Kama mm Mkuu?★Me huwa ninahisi kabisa kabisa 100% Ed Woodward anakisasi na Manchester United huenda kuna kosa walishawahi kumtendea kipindi cha zamani tena kisasi chake ni kama kile cha "korea Series Alinyimwa kazi na kampuni flani wakamtusi anaenda kusoma anatafta hela anakuja kuzamini kampuni kumbe ana lengo la kufirisi kulipa kisasi chake" Ko waunde bodi kumchunguza huyu jamaa ATATUCHOMESHA OHOOOO nasema tena ATATUCHOMESHA OHOOOO nishaanza kuwaza hili mimi★
pole sana mkuu, hauko peke yakoAcha tu mdau imefikia hatua mie fan wa hii timu naangalia mpira huku chozi lanidondoka
Tumefungwa kwa sababu ya match fitness wanafanya training lakini ni kama kutimiza wajibu tu.Mbona wamekuwa wakifanya ndugu!
Mbona umewaza Kama mm Mkuu?
Nilisema maneno hayo long before. Bodi inakirusi na kimeitafuna man Utd tangu enzi za man Utd vs One united
Tunahaja ya kukemea wenzangu mjue kwamba wanaomiliji uwanja sio wamarekani? Yaani manager anawakati mgumu sana. Yaan united inamgogoro Wa wakiipuuz sana











Chief, Chelsea si wa kulinganisha na United asee. Usiwaone hii game wakiwa pungufu, kwa ukamilifu wao wanaupiga mwingi. Kila player uwanjani unamwona ana njaa tofauti na United Pogba, Martial na Rashford huwezi elewa km wanajua timu inahitaju ushindi. Pogba anakimbia utadhani anaruka mavi njian, haliwezi kimbia kabisa. United timu inacheza km in red cards 3Unpopular opinion
Man united sisi ni weupe ila vijana wa Lampard ni WEUPE PEE
BTW Joginho aendelee kujifunza kwa Bruno namna ya kupiga pena za kibandankoi
Mbuzi wa Kawe![]()
Mkuu, hizo njaa zao binafsi sizioni...na kama zipo basi ni suala la muda kabla ya ukweli kuonekanaChief, Chelsea si wa kulinganisha na United asee. Usiwaone hii game wakiwa pungufu, kwa ukamilifu wao wanaupiga mwingi. Kila player uwanjani unamwona ana njaa tofauti na United Pogba, Martial na Rashford huwezi elewa km wanajua timu inahitaju ushindi. Pogba anakimbia utadhani anaruka mavi njian, haliwezi kimbia kabisa. United timu inacheza km in red cards 3
Maombi? Are you sane?★Hili swala linahitaji maombi kwakweli Duuuh★
ama kweli ujue mpaka imebidi nikaangalie google translator kupima kama nilichokielewa ni tofauti kumbe niko sawa umenikosea sana afu nazani umekurupuka bila kujua tulikuwa tunaongelea nini inabidi wewe ndio ukapime Wendawazimu wako hauko timamu ndugu
★
Maombi? Are you sane?
Kuna watu humu wanasema ni sababu man utd haijasajili ... ni sababu haina wachezaji world class kwenye baadhi ya maeneo ... lakini twende mbele turudi nyuma ... unahitaji kikosi kizima cha world class ndo uweze kupata points kwa Crystal Palace?
Ya kwamba kikosi hiki cha wakina Pogba, Fernandez, VDB na wengineo, ni dhaifu kiasi cha kutokuweza kupata points dhidi ya mid-table teams? Haingii akilini. Ingekuwa ni UEFA sawa.
Kuna shida mahali.

Mtu kama wewe hua mnakuaga na akili timamu?PUNDA kama PUNDA View attachment 1575322


kila siku nawaambiaga hapa mkuu awanielewi wanamsifia kocha hapa ila narudia OLE hana mbinu za kuifundisha man utdKwa mpira huu sidhani kama tutafika popote na kila siku tutakua tunaitwa NYUMBU