Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu tushabadili makocha wangapi?
Hivi LVG Morinho sio makocha wazuri?

Jamaniiii, mchawi wetu ni Edwoodwad na mabosi wake, hao makocha tunawaonea tu.
Kwa timu kama Dortimund ama Bayan, hata kocha awe Mwambusi bado watapata matokeo mazuri tu.
Mkuu hiki kikosi tulicho nacho kwa ss hata Ferguson hakuwahi kuwa nacho ktk zama zake za mwisho mwisho na bado akabeba mataji, kikosi chetu ni cha gharama na co tu gharama ilihali wachezaji wabovu la hasha bali asilimia kubwa wachezaji ni wazuri tu.

Jenga picha una De gea, pogba, Matic, VDB, Bruno, hao wote ni classic players unataka nini zaidi hapo?

Hebu fikiria kocha anashindwa kumtumia pogba, anamchezesha chini ili akabe ss we pogba na kukaba wapi na wapi, kocha anashindwa kufahamu kwamba linderlof hastahili kuanza, kocha ana wapuuzi kibao the likes of lingard, Pereira, Jones, Smalling lkn anashindwa kuwauza na hawachezi huku wanakula mishahara ya bure alafu anataka pesa ya kusajili.

Anashindwa nn kuwauza hao mizigo ili apate pesa za kununua hao anaowataka? Kocha anashindwa kupanga kikosi wakati hata km hatutaongeza mchezaji lkn bado tuna kikosi kizuri ambacho kocha anayejua lazima afanye vizuri.

Sawa ndiyo tumebadilisha makocha lkn haitoshi kuamini kwamba tupo kwenye mikono salama ya Ole, bado tuendelee kutafuta kocha mzuri au km itashindikana basi SAF arudi japo kwa misimu miwili tu aweke mambo sawa.
 
mkuu nimeamini we ni mpenzi na shabki wa mpira mana humu wengi ni mashabiki wanashabkia tu ila wanakwepa ukweli ukiwa mpenzi wa mpira tumia ukweli ili kutengeneza team na sio kushabikia timu ili kuficha matatizo, man utd hana kikosi kibaya mpaka afungwe na palace hat msimu ulopita pia hakua na kikosi kibaya kusema awe na wasi wasi wa kuingia top four mapema ila kocha OLE ni tatizo kubwa hana mipango hana uwezo anatembelea bahati tu ya wachezaji.
 
Lukaku yupi, lile bonge?
Mkuu alifunga goli ngapi msimu wake wa mwisho?
Huyo huyo unaemuita bonge.

Goli 12 game 32 za EPL kwa jitihada binafsi yaani hapo viungo wenu wote wehu.

Angalia inter msimu uliopita kapiga goli 23. Unadhani ni easy???

Mind you hakuna namba ngumu nowadays kucheza kama namba 9
 
Martial msimu huu kafunga goli ngapi?
Unafananisha inter na Man U?
Huko hata Young na Sanchez wanaonekana Lulu.
 
★On this day in 1994, Paul Scholes made his Manchester United debut and a legend began

#Legend
#GGMU

manutd |
IMG_20200921_113805_529.jpeg
 
Martial msimu huu kafunga goli ngapi?
Unafananisha inter na Man U?
Huko hata Young na Sanchez wanaonekana Lulu.
Lukaku is no 20 in all-time goal scorer wa EPL, he score more goal than Drogba,Nisterlooy,Tevez,Suarez,Saha,Berbatov,OGS,CR7, Torres

He is proven EPL goalscorer

Last season pia kafunga kwenye Champions league na Europa league

Sent from my Redmi 6A using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mkuu. Na kocha anaejitambua huwa anakuwa na nguvu za kuamua aonavyo yeye inafaa.

Bodi ya arsenal walishakubaliana AMN auzwe ila kocha akasema laa. Lukaku kumuondoa ilikuwa ni kosa kubwa sana
Kumuondoa Lukaku ni kosa kivipi?

Mbona alikuwa hana uspecial wowote.

Maana unaongea kama Lukaku ni mchezaji aliyekuwa anafunga goli 25+.
 
Mkuu hiki kikosi tulicho nacho kwa ss hata Ferguson hakuwahi kuwa nacho ktk zama zake za mwisho mwisho na bado akabeba mataji, kikosi chetu ni cha gharama na co tu gharama ilihali wachezaji wabovu la hasha bali asilimia kubwa wachezaji ni wazuri tu.

Jenga picha una De gea, pogba, Matic, VDB, Bruno, hao wote ni classic players unataka nini zaidi hapo?

Hebu fikiria kocha anashindwa kumtumia pogba, anamchezesha chini ili akabe ss we pogba na kukaba wapi na wapi, kocha anashindwa kufahamu kwamba linderlof hastahili kuanza, kocha ana wapuuzi kibao the likes of lingard, Pereira, Jones, Smalling lkn anashindwa kuwauza na hawachezi huku wanakula mishahara ya bure alafu anataka pesa ya kusajili.

Anashindwa nn kuwauza hao mizigo ili apate pesa za kununua hao anaowataka? Kocha anashindwa kupanga kikosi wakati hata km hatutaongeza mchezaji lkn bado tuna kikosi kizuri ambacho kocha anayejua lazima afanye vizuri.

Sawa ndiyo tumebadilisha makocha lkn haitoshi kuamini kwamba tupo kwenye mikono salama ya Ole, bado tuendelee kutafuta kocha mzuri au km itashindikana basi SAF arudi japo kwa misimu miwili tu aweke mambo sawa.
Nakubaliana na wewe OLE kwa kiasi fulani hana ufundi wa kuirudisha ManU top level.

Ila hiyo mifano uliyoitumia inaifnya hoja yako ikose nguvu.

Unauliza kwanini OLE anamchezesha Pogba kama kiungo wa chini ili akabe.

Ole anamtumia hivyo si kama kiungo mkabaji, ndio maana mara zote huwa anacheza na Matic, McT, au Fred.
Lengo ni atumike kama mwanzilisha mashambulz kutokea chini.

Na ndivyo hivyo anatumika kwenye kikosi cha France.
Nafikiri Pogba sio a complete 10, ndio maana makocha wengi hawampangi kwenye hiyo namba.

Pia OLE hausiki kwenye kuuza wachezaji.
 
PUNDA KAMA PUNDA... bora mngebaki Nyumbu F. kidogo mlikuwa mnacheza vizuri ki nyumbu nyumbu. Toka mmekuwa Pundamilia hovyo kabisa
 
Mbona kama unamcheza mwanao?
Ngoja ifike December alafu uone.
Arsenal8 hamjawahi kutamba inapo fika December. Itunze hii kama kumbu kumbu.

Naona ratiba yetu na Nyumbu inachelewa.... Tukitoka kuwanyonyoa Majogoo jumapili next game tuletewe kwanza hizi nyumbu tuzifundishe adabu....please FA badilisheni ratiba kwanza tusogezeeeni huyu kigori mwenye macho ya mdori tumpige mabusu motomoto kabla hajatumika sana na akina Everton hawa
 
Patrice Evra
'I love this club and maybe one day I will work for this club again but I will work with my loyalty and I will never lie to any person who loves this club,' Evra continued.

'I think some people who work for this club are damaging this club. That's why we have to tell the truth to the fans.

'I know some people are scared to speak up about because they may not get a job in the future, I don't care, I don't need Manchester United. I love Manchester United.'

Evra's comments come just days after he landed himself in hot water during punditry duties with Sky Sports.

Speaking ahead of the United-Palace game on Saturday evening, Evra spoke live on air about unfounded rumours that Wilfried Zaha had an affair with David Moyes' daughter while at United.
 
Evra on United transfers: "The perfect example is Alexis Sanchez. City were the first in the race, he asked for so much money. Pep even said I can't give you that, I will lose my job. Luckily for Alexis, Manchester United are like, come, we got money here." [IG: patrice.evra}
Evra on United transfers: " Before us, Charlton, Best, they make the history of the club. All those people they make the history of the club and we try to respect it, '99 and us '08. Just some people they want to blow all this legacy away. For what? Business?" [IG: patrice.evra]
Evra on United transfers: "When we want a player and they cost say 20 million, we end up trying to buy him for 100 million. Now those players don't even want our money anymore." [IG: patrice.evra]
Evra on United transfers: "People need to understand we [United] send lawyers to talk to players. So when we send lawyers they talk about numbers, they are not people from the football world." [IG: patrice.evra]
Evra on United transfers: "At the time, Fergie, David Gill time, we didn't hear anything in the paper, but van Persie, Evra, Vidic, Ferdinand, everything was fast. When Manchester United need a player they go and they talk them face-to-face." [IG: patrice.evra]
Evra on United transfers: "Every year, we make so much impact on social media but in reality, nothing. With every target, fans need to understand it's not because you buy 5,6,7,10 players, then your team will improve, but at least [get] your main target. [IG: patrice.evra]
Patrice Evra on former players not speaking up about United: “I know some people are scared to speak up about because they may not get a job in the future, I don’t care, I don’t need Manchester United. I love Manchester United. [Patrice Evra IG]
Patrice Evra’s message to manutd: “Please respect our legacy. We worked so hard to get to where we are today” [IG: Patrice.Evra]
Patrice Evra on #mufc: “The club needs to stop being so arrogant. There are certain people at the club right now that don’t even respect Sir Alex Ferguson” [IG: Patrice.Evra]
Evra: "I love this club and maybe on day I will work for this club again but I will work with my loyalty and I will never lie to any person who loves this club. I think some people who work for this club are damaging this club. That's why we have to tell the truth to the fans."
Evra: "If I have a problem with Ed Woodward. I wont talk on social media. I will just call him or meet him face-to-face about what I think about something. The only problem I would say to Ed is trusting people he should never trust. He even trusts people outside the club."
Evra: "A sporting director from a top football club called me and asked me to tell Matthew Judge to answer his phone." #mufc
Evra: "Protect the legacy of the club. Roy Keane came to Carrington and was speaking to some kids and they didn't know who he was. So I can't imagine if they know who Bobby Charlton is." #mufc
Evra: "The #mufc shirt is a very heavy shirt so if you can't take it, just leave. But the new generation don't have an example to follow."
Evra: "Jose was so disappointed about #mufc because it was his dream. When he arrived he saw kids and wasn't happy because he trains men."
 
Back
Top Bottom