SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,442
Kuna watu humu wanasema ni sababu man utd haijasajili ... ni sababu haina wachezaji world class kwenye baadhi ya maeneo ... lakini twende mbele turudi nyuma ... unahitaji kikosi kizima cha world class ndo uweze kupata points kwa Crystal Palace?
Ya kwamba kikosi hiki cha wakina Pogba, Fernandez, VDB na wengineo, ni dhaifu kiasi cha kutokuweza kupata points dhidi ya mid-table teams? Haingii akilini. Ingekuwa ni UEFA sawa.
Kuna shida mahali.
Ya kwamba kikosi hiki cha wakina Pogba, Fernandez, VDB na wengineo, ni dhaifu kiasi cha kutokuweza kupata points dhidi ya mid-table teams? Haingii akilini. Ingekuwa ni UEFA sawa.
Kuna shida mahali.
★