SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,442
Labda mshinde njaaTunashinda 3 _2
Bdo penalty brooono ypoLabda mshinde njaa
Kimbiji kuna banda zuri la mpira mbona...Nani kafungwa mkuu ..niko kimbiji huku
Ole wenu hahaahahhHii team imeokotana nini, maajabu ya mpira James yupo Manchester United Zaha yupo Crystal Palace tutafika tu Ole wetu
Tunashinda Man u mpka dakika ya 94 bdo tunaweza shindaGame over, tumepigwa.
Tunashinda Man u mpka dakika ya 94 bdo tunaweza shinda
Manchester ina wachezaji wazuri sana,tatizo kocha.Ole anawapotezea muda. Kiungo cha Pogba, Bruno, VDB mbona unatengeneza timu nzuri sanaKwa mpira huu sidhani kama tutafika popote na kila siku tutakua tunaitwa NYUMBU
Aha uko mitaa gani hapo nije, mimi mgeni huku mkuu kuna mishe nimefataKimbiji kuna banda zuri la mpira mbona...
Na mm nipo hapa kimbiji



