OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Huyo mdau alikuwa ananichora tu hakuwa serious. Mimi niko na mishe zangu mkuu.Ww c kuna mdau humu alikuambia umtumie CV akupe mchongo au ulipuuzia mkuu.
Huyo mdau alikuwa ananichora tu hakuwa serious. Mimi niko na mishe zangu mkuu.Ww c kuna mdau humu alikuambia umtumie CV akupe mchongo au ulipuuzia mkuu.
Hii tm kiukweli kabisa bado ina wapuuzi wengi.
Sijui plan yake kwa leo ni ipi? labda plan B itakuwa na manufaa zaidi.Hii tm kiukweli kabisa bado ina wapuuzi wengi.
kama yupi hapo?Hii tm kiukweli kabisa bado ina wapuuzi wengi.
Mbona kila muda tupo "Negative" tu mkuu?Hii tm kiukweli kabisa bado ina wapuuzi wengi.
Rashfordkama yupi hapo?
Mkuu hili ndio tatizo tuko kujipa moyo lkn hawa wachezaji wengi wa utd co level yetu, unajua tuna michuano mingi so kwa wachezaji wa kiwango cha kupanda na kushuka au kutegemea ameamkaje km hao niliowataja ni shida, kwa mfano leo tunacheza na timu ndogo unaweza kuwaona watu ila wanamakosa mengi mno.Mbona kila muda tupo "Negative" tu mkuu?
Shida kwenye hicho kikosi hapo ni nini?
Mkuu kiuhalisia hawezi...ila tungoje dk 90 zitaamua...pia tujue kabisa upande wa mensah kama james atashindwa kucheza vyema basi tujue upande huo umekufa tayari.Huyo mensa ataweza kumkaba zaha kweli au ole analeta masihara??
AWB ilibidi aanze aisee,,sema labda hayupo fit..tusubiri pre-match conference ya Ole itakuwa na majibuHuyo mensa ataweza kumkaba zaha kweli au ole analeta masihara??
Mkuu kiuhalisia hawezi...ila tungoje dk 90 zitaamua...pia tujue kabisa upande wa mensah kama james atashindwa kucheza vyema basi tujue upande huo umekufa tayari.
Post-matchAWB ilibidi aanze aisee,,sema labda hayupo fit..tusubiri pre-match conference ya Ole itakuwa na majibu
Na nyie wadau mnapuyanga sana! Hao waliokuwa level zetu walikuwa wanashinda makombe yote mfululizo kwenye michuano yote!? Hao level zetu hawakuwepo kwenye vichapo vya 6-1,3-1 n.k.?.Mkuu hili ndio tatizo tuko kujipa moyo lkn hawa wachezaji wengi wa utd co level yetu, unajua tuna michuano mingi so kwa wachezaji wa kiwango cha kupanda na kushuka au kutegemea ameamkaje km hao niliowataja ni shida, kwa mfano leo tunacheza na timu ndogo unaweza kuwaona watu ila wanamakosa mengi mno.
Unacheka nin sasa????
