Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,529
- 9,622
hahhaahhhahahahajahahah
MikojoMan u MAVI
Kivyovyote mkuu hata yangekuwa maji...anapataje ujasiri wa kunywa uwanjani!!?Pole mkuu ila ile ni kahawa au unaweza sema al kasus
Avr leo ipo bize inajiandaa ma michuano ya OLYMPICAnasubiri mshinde[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahahaMungu awatangulie jamaa zetu wa old Trafford....
acha kuilinganisha Man u na huo utopoloHii team kama CCM tu
Sisi united hii game hatutoki
Kosa la ole Ni lipi ndugu.Hii timu wasipoachana na Ole hata wamlete Messi,Ronaldo hamna kitu.
Tunarudiaaaaaaaa