Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Klop alipewa misimu minne kuijenga Liverpool.. tumpe muda ole.. Roma haikujengwa siku moja... Hata fagason enz anachukua team kidogo ashuke daraja ila akapewa muda... Tumwache ole ajenge team... Kwanza hapew wachezaj anao wataka board inabana pesa... Sancho was best player
USIMFANANISHE KLOPP NA VITU VYA KIJINGA. KATIKA HIYO MISIMU MINNE ALIFIKA FAINALI UROPA, CARABAO NA UEFA. ole amefika wapi??? Tandale kwa Tumbo?
 
Aaron Wan_Bissaka akiwa Benchi
Screenshot_20200919-235644.jpg
 
Aliyechukua point 3 kwa spurs ni Everton
Kwenye ushindani kinachomatter ni ushindi.

Ndicho ambacho kitaongelewa hapa.

Lakini Man U kadominate game nzima.

Possession ni 75 kwa 25.

Last time timu kua dominated na kushinda ni UCL. Man City na Lyon, na matokeo yalikua 3 kwa 1 hivi hivi.

So mwisho wa yote gemu ya leo ilikua ni 'better technics win' Man U hawana striker yet wakataka wacheze kwa mtindo huo.

Palace walijua hawana quality player pale kati so wakarely kwenye counter and it paid.

Kuchukua point 3 toka kwa Tottenham na zingine toka kwa Man U siyo jambo dogo kwa level yao tena bila kusajili. Wanastahili pongezi.
 
baada ya miaka takribani 20, hatimaye nimeamua kuacha kuishabikia punda milia FC.
===================
nawakaribisha Arsenal, team ya kawaida yenye football structure inayoeleweka chini ya mwalimu mwenye muda mfupi tokea akabidhiwe timu.
===================
unafungwa na crystal palace waliokuja na mbinu zile zile walizokuja nazo msimu uliopita cha ajabu unamlaumu ed woodward kwa kushindwa kumsajili sancho na beki wa kati pamoja na hoja ya uchovu
==================
ukifungwa na bayern munich magoli matano huenda utamsingizia muweza wa yote kwa kushindwa kumleta messi, ronaldo, zidane, de lima kwenye viunga vya old trafford.
==================
nampenda sana ole ila bado anashindwa kunishawishi kimbinu, amekuwa ni mwalimu anayetegemea zaidi jinsi wanavyoamka wachezaji wake.
=================
tumepoteza vita ila bado mapambano yanaendelea
 
Ivi babu, Matic kwani mgonjwa?
Kama yuko fiti, basi Ole kachangia tufungwe.
Swala la usajili haliepukiki.
CB, CF & RW lasivyo tutaendelea kuumia.

Hivi njia gani itumike kumfukuza kazi Ed wood?
Huyu jamaa sina imani nae, haki ya mungu.

Hizi habari za kumuandama Ed pale Timu inapoboronga ndiyo zinazomfanya OLE awe comfortable hata Timu ikose matokeo.

Yani unajua OLE tokea apewe Timu ameshatumia kiasi gani kwa Wachezaji?
 
Asante hii timu akipewa mtu kama bielsa mtashangaa. Kocha wetu ni facken hana mbinu wala nini, timu inafungwa limekaa tuu limekunja 4.. Tupigwe hata game 4 mfululizo ndio akili zitakaa sawa..
Mlikuwa na LVG nyinyi mkamletea nyoko.

Binaadam bhana. Bielsa ni sawa na LVG tu
 
Back
Top Bottom