Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Naskia kachomoa zote
Kakuchomoa hadi wewe
Naskia kachomoa zote
Already mentioned.Kesho tukijitahidi sana ni droo
Palace sioni akishinda siyo kwakua Man U ni nzuri sana ila kwakua Palace ni ile ile inayopokeaga bakora za Man U huku Man U wakiwa wamejitanua kidogo.
Rudi nyumbani kumenogaUEFA tuliondolewa kwasababu ya Lindelof,bado leo Ole anampanga sijui ni uzungu au nini !.
Uko sahihi kabisa... mambo ni bulbulManUtd 1 - 0 Crystal Palace CSM at 07:30 p.m Saturday
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app


Bora ulikuwa mkweli tu.Kesho tukijitahidi sana ni droo
Hivi bado mnafikiriaga kushinda epl siku hizi? Nyie watu mna utani sana. Sio kwa kikundi hiki maana sio kikosi hata.The last time Manchester United lost their opening Premier League match by at least two goals was in 1995-96, when they lost 3-1 at Aston Villa.
They went on to win the title.
Hawa Pundamilia wanatakiwa kuwaza namna ya kugombania nafasi ya tisa na Leeds hukoHivi bado mnafikiriaga kushinda epl siku hizi? Nyie watu mna utani sana. Sio kwa kikundi hiki maana sio kikosi hata.
Mungu anawaona sawaGOOOOOOOOO
MAN U 4-3 CRYSTAL
Kangi Lugola 97'
Mzee Kilomoni 104'
Nabii Titto 178'
Kwenye ushindani kinachomatter ni ushindi.Hahahaha aseee! Nacheka kweli.
Kwa Man U ya sasa hata wakisajili Messi bado watamaliza ligi nyuma ya Leeds unitedBabu fargson mrudishen