OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Haha huku tumemaliza salama na sasa tunapeleka msiba emirates, haha adui muombe njaa kwa kweli hakuna namna😀😀😀😀Hii mechi mlikuwa mnachezea goli 5 ila watoto wamekosa umakini.
Sio mbaya bado kuna mechi 37.
😀😀😀


