Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,726
Hahahaa same team, same coach, same problems.. Matatizo yale yale timu inacheza slow hakuna lililobadilika, tutasajiri sana lakini bado Ole pia hatoshi hamna anachofundisha huo ndo ukweli.
Hata timu haieleweki inacheza mpira gani kitu ambacho hakihitaji World class prayers kuona aina ya mpira kocha anaofundisha.
Haya matatizo ya timu ndogo yanaendelea kututesa na hakuna kitu Ole ameimprove kwenye hilo tunapiga vipasi uchwara tu visivyo na maana.