Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
KARIBUNI EMARATI SASA TUWAONESHE JINSI YA KUCHEZA MPIRA MBWA NYIE
Mkuu wanawake ndiyo uwa wanasemaga man sisi ni mmbwa kwani na wewe ni Mwanamke Mkuu ?
KARIBUNI EMARATI SASA TUWAONESHE JINSI YA KUCHEZA MPIRA MBWA NYIE
Kama wanawaita Mbwa basi wanawapendelea.... Ninyi Pundamilia FC ni Mbwa KokoMkuu wanawake ndiyo uwa wanasemaga man sisi ni mmbwa kwani na wewe ni Mwanamke Mkuu ?
Pole,Kila siku tunasema humu, timu yetu haina mfungaji wa uhakika.
Matial & Rash food hawa ni mawinga tu mbele ya wafungaji kama Haaland.
Timu inatatizo la mfungaji.
Nimeumia sana.
Wizara ya maliasili na utalii imekaa kimya wakati crystal palace wameua pundalia sijui hii imekaajeHawa Pundamilia wanatakiwa kuwaza namna ya kugombania nafasi ya tisa na Leeds huko
Wizara ya maliasili na utalii imekaa kimya wakati crystal palace wameua pundamilia sijui hii imekaajeHawa Pundamilia wanatakiwa kuwaza namna ya kugombania nafasi ya tisa na Leeds huko
kwani inamaana hii ndio mara ya kwanza kuona hiki kikitokea united?Mbona umekimbilia kutabiri hivyo?
Au unakunywa chai meza moja na ED Wood.
KIGWANGALLA YUKO WAPI PUNDAMILIA WANAUAWA HUKUWizara ya maliasili na utalii imekaa kimya wakati crystal palace wameua pundalia sijui hii imekaaje
😅😅😅😅😅Imagine NYUMBU without PENALTI and this happened today
Pumbavu.Pole,
Ila kwanini uumie? Karibu Gunners