Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,243
- 76,791
Kwahiyo yeye ndiye alikua anamuweka benchi Pullisic?Hajawahi kuwekwa benchi, kama hufahamu Sancho sasa hivi ana miaka 20, miaka 3 iliopita wakati ana debut alikuwa na miaka 17, inamaana alikuwa anacheza timu ya watoto na wakubwa,
Toka aingie kikosi cha kwanza akiwa na miaka 18 amecheza mechi 30+ kwa msimu, alikuwa akianza karibia kila mechi, na misimu hio miwili yote ana goli assist za kutosha.