Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

larry__memes-20200910-0004.jpg
 
Jadon Sancho SAGA limerejea..This time around SkySport wanasema kuna maelewano kiasi..

RW ni eneo la kuletwa mtu aisee..ni miaka na miaka tunazunguka zunguka tu
Atasajiliwa karibu na deadline day
Ed Wkodward muhuni yule kisha tutakuwa tumezibwa midomo
Tutasahau suala la # 9
 
rooney na lampard hawajawahi kudrop mpaka mwisho wa career.

na sancho sio kwamba yupo kwenye kiwango cha juu msimu mmoja, ni msimu wa tatu huu anacheza vizuri, unaanza wa 4.
So kawekwa benchi na Pullisic misimu misimu mingapi pale BVB?
 
★30k au 300k mbona anauza kitonga sana
Dar-es-salaam mkuu, info zao hizo hapo kwenye screenshot.

Au unaweza kuwacheki Dauda Sport Store (Maduka ya Shaffih Dauda) maduka yao yapo Dar na Dodoma. Utachagua lililo karibu na wewe. Pia maduka yote mikoani wanatuma.

Ila kwa Dauda Sport Store bei ni TZS. 30KView attachment 1564358
 
★Today earlier Solskjær interview ;-- We have recruited Fan De Beek, he is one of those players we felt we needed in the team and someone who fits in with the club's civilization and will make us progress next season.

We are always looking for a way to strengthen our lineup if possible. High quality players and good character. Not everyone can pay millions.

There were clubs that strengthened themselves quickly and some of them went step by step. We have to improve the team and get the desired result by adding players with different quality from the current lineup (Kulikuwa na vilabu vilivyojiimarisha haraka na vingine vilikwenda hatua kwa hatua. Tunapaswa kuboresha timu na kupata matokeo unayotaka kwa kuongeza wachezaji wenye ubora tofauti na safu ya sasa) nimekazia kwa kiswahili kabisa
Ko naomba tuendelee kuwa na Subra mambo mazuri yanahitaji haraka lakini isizidi kiwango ko Manchester United we are on our own SPEED si kwamba hatu haraka★

#GGMU

| manutd |
IMG_20200910_170533_813.jpeg
 
So kawekwa benchi na Pullisic misimu misimu mingapi pale BVB?
Hajawahi kuwekwa benchi, kama hufahamu Sancho sasa hivi ana miaka 20, miaka 3 iliopita wakati ana debut alikuwa na miaka 17, inamaana alikuwa anacheza timu ya watoto na wakubwa,

Toka aingie kikosi cha kwanza akiwa na miaka 18 amecheza mechi 30+ kwa msimu, alikuwa akianza karibia kila mechi, na misimu hio miwili yote ana goli assist za kutosha.
 
Wakuu hatuwezi mpata dan drinkwater pale kati acheze na scot mactominay? Pogba simuelewi kabisa, akivaa na ile jezi yetu mpya MIKUMI hii hapa kabisa... farasi tupu
 
Back
Top Bottom